Wakuu nimeamka nimekuta nina fangas wa korodani?? Nawaza ni mwanamke kaniambukiza

Wakuu nimeamka nimekuta nina fangas wa korodani?? Nawaza ni mwanamke kaniambukiza

Pumbu erosion hiyo!

Ukienda kuoga hakikisha unaosha vizuri ngozi ya pumbu usirashie rashie tu!

Nunua vile vitaulo vidogo, ukishamaliza kujifuta mwili wote tumia taulo nyingine kurudia hayo maeneo mpaka kukauke fresh!

Kama upo maeneo ya joto hakikisha ndani ya masaa 24 unaoga mara 3++
ndo ile kende zinatoa unga?
 
korodani kutokana na ngozi yake kutanuka na kusinyaa linahifadhi uchafu sana, unapooga inabidi utumie muda kidogo kuyasafisha.

Usafi wa taulo nao muhimu, taulo za kiume hadi libadilike rangi ndio linafuliwa, ukimaliza kuoga liweke mahali likauke vziuri. Siyo toka ulivyojikausha asubuhi hadi unakuja kulitumia tena jioni bado lina unyevu

Kausha vizuri maeneo ya koroddani, usijifute kama unafukuzwa. Nyoa vuzi hilo, pori linasabisha joto kwenye hicho kiwanda
 
ushauri umepokelewa
 
Unatuuliza sisi umezitolea wapi?? Boxa unafua na kuvaa zilizokauka?
 
Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani.
Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu.
Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela.

Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani zangu.Najiuliza nimetoa wap na niko mikoani huku hamna hayo mafangas.

Ngozi ya korodan inababuka kama umemwagiwa asidi na miwasho siyo kivile.
Kabla sijanunua dawa ya fangas nataka kujua nimewatoa wap?
Wataalam?
Pole sanaa mkuu
 
Back
Top Bottom