Wakuu nimeamka nimekuta nina fangas wa korodani?? Nawaza ni mwanamke kaniambukiza

ndo ile kende zinatoa unga?
 
korodani kutokana na ngozi yake kutanuka na kusinyaa linahifadhi uchafu sana, unapooga inabidi utumie muda kidogo kuyasafisha.

Usafi wa taulo nao muhimu, taulo za kiume hadi libadilike rangi ndio linafuliwa, ukimaliza kuoga liweke mahali likauke vziuri. Siyo toka ulivyojikausha asubuhi hadi unakuja kulitumia tena jioni bado lina unyevu

Kausha vizuri maeneo ya koroddani, usijifute kama unafukuzwa. Nyoa vuzi hilo, pori linasabisha joto kwenye hicho kiwanda
 
ushauri umepokelewa
 
Unatuuliza sisi umezitolea wapi?? Boxa unafua na kuvaa zilizokauka?
 
Pole sanaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ