πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈhii balaa πππππsawa nikipona tukutane mkuuπ
Hapana Mkuu, picha ilikuwa inatosha. Nitaota bure, kumbe wamekuambukiza eeeh?Au #bantuLady tukutane nikuoneshe utazame vizuri
Daah kule nilikuwa naoga saa hz mpk wiki ijayo tenaKwa mazingira ya maeneo yenye joto kuoga muhimu sana tofauti na kule tulikokua kipindi kile kuoga mpaka kuwe na bash
Wewe wasemakwamba siogi yaan miaka yote hiyo inipate leo hauko serious