Wakuu, nimekuta mil 300 kwenye Bank account yangu - sizijui!

Wakuu, nimekuta mil 300 kwenye Bank account yangu - sizijui!

Naomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu:

1. Niripoti bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka
2. Nikae kimya kwanza kusikilizia
3. Nianze kuzitumbua
4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine
5. Nizitoe zote nikae nazo home, sababu wanaweza ku-trace kama nikiweka kwenye acc yangu nyingine?

Wazoefu naombeni ushauri wenu - nimedata hata kazi nashindwa kufanya - Jina la Benki naliweka kapuni kwa sasa.
Unaruhusiwa kutoa pesa benki kulingana na transactions unazofanya, sasa wewe kapuku hujawahi kutoa au kuweka hata elfu 20 leo ghafla unataka kutoa mil. 300.....utazitolea dirisha gani aiseee, au hii ni ndoto...
 
Naomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu:

1. Niripoti bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka
2. Nikae kimya kwanza kusikilizia
3. Nianze kuzitumbua
4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine
5. Nizitoe zote nikae nazo home, sababu wanaweza ku-trace kama nikiweka kwenye acc yangu nyingine?

Wazoefu naombeni ushauri wenu - nimedata hata kazi nashindwa kufanya - Jina la Benki naliweka kapuni kwa sasa.
Labda bank ya ndoto za bangi
 
hapa naona bado sijapata ushauri wa maana, bado nina masaa 6 tu kuamua - please
hiyo hela ni nyingi kuanzia 10m kutoa bank siku hizi inakuwa monitored so bado ngumu kwako.. na hiyo hela iko reported kwa bank yako tayari mana lazma wao wajue imetoka wapi imezidi 10m. na ukienda watakuuliza wafanya biashara gani? na nani ambae umefanya nae transaction recently.. ushauri katoe kama tisa tisa
 
Yes, kuna mdau pia kanitonya hivyo kwamba ikifika mwisho wa siku leo wanaweza kuzitoa - ndiyo maana nataka nikazitoe kabla ya siku kuisha... Kuna mdau kasema kwamba nijilipue - kufa ni mbele kwa mbele ila nasita -sita roho inagoma.
Hata ukienda kuzitoa, hazitoki me nakwambia!
 
Huo muda uliotumia kutype humu ungeutumia kuuvuta huo mpunga uwe nao utajua utakapouweka,afu mambo mengine ndo yafate.

Mimi hua nawaambia washkaji zangu yaani kwenye akaunti yangu nikute hela yoyote iwe billion au trilion siiachi.Mambo mengine baadae.
Yaani wew jamaa ni kama mimi tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kuna jamaa na yeye aliwekewewa million 700 ila takukuru wakadili nae kwamba zimetoka wapi mwisho wa siku akapigwa faini ya million 7
 
Naomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu:

1. Niripoti bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka
2. Nikae kimya kwanza kusikilizia
3. Nianze kuzitumbua
4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine
5. Nizitoe zote nikae nazo home, sababu wanaweza ku-trace kama nikiweka kwenye acc yangu nyingine?

Wazoefu naombeni ushauri wenu - nimedata hata kazi nashindwa kufanya - Jina la Benki naliweka kapuni kwa sasa.
Hiyo ela huwezi kuifanyia chochote, sana sana ukijitahidi kutoa hautaweza zidi milioni 10 tena kwa kutoa kupitia ATM na si Kaunta ya Benki. Fedha kuingia kwenye akaunti ni rahisi sana ila kuzitoa lazima watu wa benki watahitaji kujua fedha zimetoka wapi kwa kulinganisha na money flow ya akaunti yako na muda huo akaunti tayari inakuwa iko freezed. Kama umeuza kitu watahitaji uthibitisho wa mauziano na watahitaji kukata kodi ya Serikali. Jiandae kwa yote hayo maana hadi uje kuyakamilisha mhusika kashagundua na kuzuia akaunti yako.
 
Kuna ndugu yangu nataka kumtumia muda huu kwa PayPal - yupo nje ya nchi - Sasa naogopa endapo Transaction hii kama inaweza kushtukiwa na BOT ama lah - nina muda mchache sana kuamua hili... then nichimbe!!
Kuhamishia nje utashtukiwa na kukamatwa haraka sana,kama unaona ni pesa ya kawaida iache katika akaunti,sikilizia kwa muda.Nasema hivyo kwa sababu pesa hiyo si nyingi ya kukufanya uhame nchi,ukienda huko utaishiwa tu.Isikilizie ukiona kimya ni kwako mzee,huna biashara yoyote?
 
Back
Top Bottom