Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Ni kweliNne staying for too long without having sex. It happens sometimes kwangu due to that and sishangai
Usipofanya mapenzi Kwa muda mrefu huwa inatokea kuota unafanya ngono kisha manii kutoka kupitia hiyo ndoto.
Ndiyo maana nimeshauri hapo juu, jamaa aoe.
Usipooa unakaribisha mawazo potofu, ama wakati mwingine kupata maswahibu ya kubaka
Ndiyo maana baadhi ya watu wamewahi kuripotiwa kubaka Mbuzi/Ng'ombe/Kuku n.k
Chanzo ni kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi