Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

shida ipo wap? kwan aliyesema sisi tuna hati milik ya mahal fulan? si ni kwamba umezakiwa tu na kujikuta hapo. acha wajae tu.umesahahau kwao wana teknlogia kubwa
 
shida ipo wap? kwan aliyesema sisi tuna hati milik ya mahal fulan? si ni kwamba umezakiwa tu na kujikuta hapo. acha wajae tu.umesahahau kwao wana teknlogia kubwa
Kwa hiyo tuwaache wajazane tu mwamba ama nini
 
Katika Uchumi hakuna rafiki wala adui wa kudumu. So hatuna urafiki, kinachotuunganisha ni rasilimali tu!!
Kwenye maisha yako ukishindwa ku utilize kile ulicho nacho au ulichopewa ujue kila mtu utamuona adui
 
Rejea waziri wa kilimo Tz, Rais wa sasa wa Tz. Inanzaa kama utani halafu ndo mazima hiyo.
 
Inasemekeana future ya Dunia Ipo Africa...Yan Africa ndio itabaki sehemu salama kwa Binadamu kuishi kwaiyo lazima Whites wafanye jambo mapema kulichukua hili Bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…