Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

Shule wanakosoma wanangu anatafutwa mwalimu wa kichina...
So mgeni ameingia tumkaribishe na maji tumpe
 
Unaona sasa....daaah... na kuna thread humu ipo kitetesi lakini, kwamba jamaa wanachimba madinj vinaya mno. Sema kama wanafata taratibu na kulipa kodi sio mbaya. Ni wawekezaji
Wapo huku Lwamgasa, Mgusu,Nyarugusu kote wametapakaa huku ukanda wa dhahabu, na sehemu mchina akichimba anafyonza dhahabu yote, hata we ukipita kuprocess kwenye mchanga wake hupati hata point moja, bora hata mabaki ya wazungu tunapata "vigramu" vya kuzugia.

Jamaa sijui wanatumia kemikali gani mbali ya Cyanide na Mercury.
 
Nenda pale Nyamatagata
 
Hao macho madogo ni wajanja sana huko pwani ndanindani nlikua nakutana na watoto wa kichina mixer na wakwere na wazigua plus masai wakichunga ngombe na mbuzi pirini wsmepauka balaa.kusema ukweli zaidi ya uwekezaji mchina pia ana jambo lake vitukuu vyetu vitaisoma namba
 
Haya ni Mawazo tu.

Weuzi wamejazana sana ulaya na wengine wanapewa uongozi ngazi za juu .

Dunia ni yetu sote, tuache ubinafsi bali tusake fursa.
 
CCM wapo Dodoma wanawaza leo, kutawala ndio kipaumbele chao na sio ustawi wa Taifa bora, watu bora, maisha bora kwa watu wake.

Soon tutaanza kuwa na wachina wenye asili ya Tanzania kama ilivyo kwa wahindi, waarabu, waajemi nk, tutawapa uraia na baadaye watakuwa wenzetu tu, watakuwa viongozi nk.
Wakati haya yanafanyika tunasahau wenzetu wana special mission Kwa maslahi mapana sana ya baadaye huku vijana wetu wakivimba na suti nyeusi + miwani nyeusi.
 
Wapo wamejaa huku, Kote Nyang'wale, Msalala, Geita mjini hapa wako tele, sio kwenye dhahabu tu, hadi bolibo (dubu) wamejaa wanakusanya mia mbili mia mbili.
Hilo ni janga sio uwekezaji
 
Hao macho madogo ni wajanja sana huko pwani ndanindani nlikua nakutana na watoto wa kichina mixer na wakwere na wazigua plus masai wakichunga ngombe na mbuzi pirini wsmepauka balaa.kusema ukweli zaidi ya uwekezaji mchina pia ana jambo lake vitukuu vyetu vitaisoma namba
Hakika Mkuu.... Ngoja Nikitoka Dodoma mkutanoni ntaeleza jambo
 
Back
Top Bottom