Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo huku Lwamgasa, Mgusu,Nyarugusu kote wametapakaa huku ukanda wa dhahabu, na sehemu mchina akichimba anafyonza dhahabu yote, hata we ukipita kuprocess kwenye mchanga wake hupati hata point moja, bora hata mabaki ya wazungu tunapata "vigramu" vya kuzugia.Unaona sasa....daaah... na kuna thread humu ipo kitetesi lakini, kwamba jamaa wanachimba madinj vinaya mno. Sema kama wanafata taratibu na kulipa kodi sio mbaya. Ni wawekezaji
Nenda pale NyamatagataWapo huku Lwamgasa, Mgusu,Nyarugusu kote wametapakaa huku ukanda wa dhahabu, na sehemu mchina akichimba anafyonza dhahabu yote, hata we ukipita kuprocess kwenye mchanga wake hupati hata point moja, bora hata mabaki ya wazungu tunapata "vigramu" vya kuzugia.
Jamaa sijui wanatumia kemikali gani mbali ya Cyanide na Mercury.
Wapo wamejaa huku, Kote Nyang'wale, Msalala, Geita mjini hapa wako tele, sio kwenye dhahabu tu, hadi bolibo (dubu) wamejaa wanakusanya mia mbili mia mbili.Nenda pale Nyamatagata
Hakika Mkuu.... Ngoja Nikitoka Dodoma mkutanoni ntaeleza jamboHao macho madogo ni wajanja sana huko pwani ndanindani nlikua nakutana na watoto wa kichina mixer na wakwere na wazigua plus masai wakichunga ngombe na mbuzi pirini wsmepauka balaa.kusema ukweli zaidi ya uwekezaji mchina pia ana jambo lake vitukuu vyetu vitaisoma namba