Wakuu nimepigwa na UTI moja kali sana. Kuweni makini.

Ki'sex cha dakika tano kimepelekea hadi upigwe masindano kama sio uf@l ni nini? Amekuachia na ma'ukimwi.
 
Daaahhh!!! Hapa mkuu naona kama umekuza tu mambo. Sio kweli. Ukimwi sio kitu rahis namna hiyo boss
Hahahahh
Ukimwi sio kitu rahisi kupata ama kuishi nao? Kama ni kuupata ni rahisi kuliko unavyodhani
 
UTI siguuu nomas sana aibu kama una mke.....umeharibuuuuu khaaaaa
 
Sikuhizi hatusemi UTI kali ama sugu tunasema "nono"..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…