Usituletee picha za AINimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba
Uzi bado
Umeshindwa kuvumilia ukifika utupe full story yaani limekukaa kooni haswa au kama kojo la asubuhi. Anyway tunasubiri tujue ni wapi huko sumbawanga au kinondoni kwa ponjoro.😎Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba
Uzi bado
Kwani uko Namanyere?Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba
Uzi bado
Joanah kipenzi uko wapi nije nikichukue ukapumzike nyumbani ,sasa imetosha bwanaNimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba
Uzi bado
Ili tuamini sio bangi weka picha hapaNimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba
Uzi bado
Weka pichaNimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba
Uzi bado
Libraza@Joanahusisahau picha braza
Hadi wewe una mashaka na jinsia yake? Naweza kuwa na mashaka na wewe lakini Joana ni pisi ya Arushausisahau picha braza
Joanah ni wewe kweli anti yake Junior au simu imetekwa 😳Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba
Uzi bado