Wakuu nimerejea tena kutoka sayari ya mbali baaya kupotea kwa mda wa miaka miwili

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,501
Reaction score
6,649
Kama kichwa Cha habari kinavyo SEMA,pia nimewakumbuka sana ndugu zangu w kina jinuni wanawasalimia sana wakina maimuna na sharifu.

Nambie una jambo gani linalo kutatiza nikusaidie mara Moja🙏🏽
 
Chuma ndo imetua sasaiv apa Dunian SAA Saba hii na dk 25 kutoka masafa ya mbali nipo full mzuka na mikoba yote ya magical power imeongezeka power zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…