Wakuu nimeshindwa kusoma hii hela??? ni elf 12 au milion 12?

Wakuu nimeshindwa kusoma hii hela??? ni elf 12 au milion 12?

Mimi Kuna account bank moja nilifungua account sikuwa naitumia siku nikasema Nidownload app yake tuh niisajili, Nidownload safi ndan ya apps nachek Salio nakuta 500,000 na point zame, ***** nilikimbis kwawakala nikainyofoa yote kama yangu nikaila mpk leo mwaka wa 3 kmy
 
NMB wamechanganyikiwa usijichose, hata mimi nmepoke ujumbe mara mbili kwa muundo huo ila tofauti hapo ni kiwango cha salio tu...nikiangalia kadi zangu za zamani na zasasa labda kuna moja namba zinafanana lakini hakuna...chungulia bank hakuna....nikawa roho juuu juuu sana...manoti yanasoma mengi alafu mie sina nikahisi kuna mtu amesajili laini yangu kwa NMB, na laini yenyewe yangu tangu 2006 ninayo hadi leo. NMB wangejua hali ni mbaya wangekuwa hawatumi meseji zao za kijinga hizo kwa laini zisizohusika..
 
m
Kama unaona ushauri niliokupa haufai, basi we upotezee tu. Fanya kile unaona kinakufaa. Ila kuwa makini tu na ushauri unaopewa humu. Mimi nimetimiza wajibu wangu.
kuu huwezi toa ushauri wa kutishia elimu ni kumuwezesha mtu kutambua jema na baya na madhara pamoja na kumwambia kwa mapana uhalisia wa jambo…..

siyo kusema iyo mbaya
moto mbaya
pombe mbaya
mitandao mibaya
bangi mbaya

elewa jinsi akili zetu zinavofanya kazi
 
NMB wamechanganyikiwa usijichose, hata mimi nmepoke ujumbe mara mbili kwa muundo huo ila tofauti hapo ni kiwango cha salio tu...nikiangalia kadi zangu za zamani na zasasa labda kuna moja namba zinafanana lakini hakuna...chungulia bank hakuna....nikawa roho juuu juuu sana...manoti yanasoma mengi alafu mie sina nikahisi kuna mtu amesajili laini yangu kwa NMB, na laini yenyewe yangu tangu 2006 ninayo hadi leo. NMB wangejua hali ni mbaya wangekuwa hawatumi meseji zao za kijinga hizo kwa laini zisizohusika..
kwamba inawezekana n network tu
 
Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli

maana hamna ninae mdai
sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe

Iko ivi nilikopa laki 4 sehemu nilikha na kazi nayo jamaa ameniwekea amenitumia na msg ya muamala kwenda kuangalia nakuta hiyo!!

Ivi nikiila haiwezi nitokea puani
NMB wanazifuatilia akaunti zote zinazoishia na namba 4346 na message hii sasa hivi.
 
Back
Top Bottom