Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

ElsaAnna

Senior Member
Joined
May 5, 2023
Posts
135
Reaction score
357
Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
 

Ushaliwa pesa yako, jipange tu kutafuta nyingine...

Unaweza pata umeliwa na mbongo mwenzako...
 
Dah watu mna hela..yani ukam-trust mtu humjui kwa kutuma hela yote hyo?
 
Dah! Aisee😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…