Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

Wewe ni rofa acha utapeliwe wenzetu mna hela za kuchezea unamwaminije mtu usie mjua???
 
Ww ni mjinga sana. Ukituma hela ulikua unajua namna ya kuzirudisha. Na nikuambie aliekutapeli yupo hapa hapa bongo. Na kama umetapeliwa weka uthibitisho wa miamala uliotuma na useme umetumia njia gani mbali na hapo hii ni chai from zanzibar
 
Pole Hao ni Wanaijeria! Hapo wasiliana na ubalozi wa nchi husika na Bank yao unaweza pata msaada
 
πŸ’ͺπŸ€£πŸ‘‹
 

Pole sana jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…