Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ni mjinga sana. Ukituma hela ulikua unajua namna ya kuzirudisha. Na nikuambie aliekutapeli yupo hapa hapa bongo. Na kama umetapeliwa weka uthibitisho wa miamala uliotuma na useme umetumia njia gani mbali na hapo hii ni chai from zanzibarHabari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
Baba ni wanakula bata hatari.Sasa kama wanaweza vuna toka kwambumbu tena bila jasho kwanini wasilebata [emoji1658]
Acha wale Bata, 🦆 kupitia waliosinzia🏃🏃Baba ni wanakula bata hatari.
Pole Hao ni Wanaijeria! Hapo wasiliana na ubalozi wa nchi husika na Bank yao unaweza pata msaadaHabari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
Du pole sana!! Ni Wanaijeria hao! Kampuni kote Duniani wana tumia Bank acc yenye jina la Kampuni. Wewe umemtumia 'Mtu binafsiNi yake ilikua ya Thailand mkuu na hela nimetumia western union kumtumia
Wabongo kuweni na huruma basiUpo wapi Kwanza nije nikutandike makofi?
Jamaniiiii🤣🤣🤣👋Ukiwa mjinga usifanye mwenyewe biashara za kimataifa, tumia watu. Kuandika kwenyewe unaandika kama ngumbaro, ndiyo utaweza biashara za kimataifa?
💪🤣👋Nakushauri kubaliana na hali. Hiyo ndo imeshaenda. Kwenye maisha ya upambanaji ni kitu cha kawaida kutokea. Mwaka 2019 kuna mama aliliwa kama 108m na sio kwamba hata alituma pesa.. alienda kabisa China kwenye ofisi zao kuagiza mzigo. Kontena zimefika hazina rim hata moja bali matakataka kama mawe na makaratasi. Karibu tumpoteze ila akajipanga upya na sasa hivi yuko njema kifedha kuliko mwanzoni. WAPUUZE wanaocheka hapa kwasababu watu wa aina hiyo ni maskini hawajui mambo ya upambanaji. POLE SANA NDUGU
JF inaweza kukukausha damu 😂😂😂Ukiwa mjinga usifanye mwenyewe biashara za kimataifa, tumia watu. Kuandika kwenyewe unaandika kama ngumbaro, ndiyo utaweza biashara za kimataifa?
Ngumbaroo tenaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Daah huu uzi shikamooo daaUkiwa mjinga usifanye mwenyewe biashara za kimataifa, tumia watu. Kuandika kwenyewe unaandika kama ngumbaro, ndiyo utaweza biashara za kimataifa?
Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
Maskini ni wewe na mapepe yako lenzio linafaidi saivi huko unakuja kutulilia humu.Ww ndo lofa na una akili za kimasikini sana.
Daaah [emoji3][emoji75]Ukiwa mjinga usifanye mwenyewe biashara za kimataifa, tumia watu. Kuandika kwenyewe unaandika kama ngumbaro, ndiyo utaweza biashara za kimataifa?