Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

Hivi huwa mnamtumiaje mtu hela online?
Au Mimi ni mshamba sanaaa??

#YNWA
 
Huyo Ni Mkenya hakuna Thailand hapo
Ni kweli ata Facebook huko wamejaa na wanaliza sana Watz. Wanajifanya wanawake na anasema anakutumia electronics kama Ipad Iphone na Pesa dola 2000. Sasa siku ya siku lijamaa linakuchek kwa namba 254 linasema lipo Jomo kenyatta Airport na anavitu anapiga picha box limeandikwa jina lako na documents apo unaingia kingi unatuma hela ya Usafiri viweze kukufikia huku Tanzania... apo ndo unakua Umekwisha
 
Mzizi wa matatizo yote tamaa
 
Mungu akufanyie wepesi
 
Hizi hela za kuchezea mnazipataga wapi unatongozwa hadi unatoa milioni 15 yaelekea hata tigo utatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…