Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
Habari zenu wakuu.
Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu.
Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great thinkers kuona Kama kuna MTU atakuwa na opportunity anipatie ili niwe busy and productive.
Sifa zangu ni Kama zifuatazo
Age: 24
Sex :Male
Education kidato cha nne.
Cont :- +255718038005
Location : DSM
Uzoefu kazini
Nimefanya Kazi Kama store keeper attendant.
Sifa za jumla
Hard worker
Teachable
Honesty
Aina gani ya Kazi ambazo ningependa
Kazi ya aina yoyote maana Mimi ninafundishika kirahisi
Mfano kuuza madukani., viwandani , storekeeper kuwa PA wa MTU means personal assistant.
Mshahara per month at least 300k
Au 10k ten thousand per day.
Location -nipo DSM
(Dar es Salaam)
Niwatakie siku njema na Mungu awabariki Sana .