Maneno hata kwenye khanga yapo πManeno yenye thamani kuliko hata pesa
Utanikumbuka nakuambiaa π₯΄π₯΄π₯΄Maneno hata kwenye khanga yapo π
kodi yako inaishia lini joannah.Sa unataka nani amlipie Kodi mchumba wako?
Ya frame nimelipa mwezi huu.kodi yako inaishia lini joannah.
π€£π€£π€£ shosti nisameheUshauri Gani huo Tena Adelaπππ?
Unasaliti kambiπ€£π€£π€£π€£ shosti nisamehe
hauna iliyoisha sasa nina kibunda kinaniwasha hapa sikukuu ya pasaka imekuwa siku chache sana hata haijamaliza hii hela haahaa.Ya frame nimelipa mwezi huu.
π€£π€£π€£Kwa ubahili wenu huo,na uhakika hauna miahauna iliyoisha sasa nina kibunda kinaniwasha hapa sikukuu ya pasaka imekuwa siku chache sana hata haijamaliza hii hela haahaa.
Mwandiko wa kike huu kabisa yaniSema umenogewa na pesa huna πππ
Ukumbukwe ww biblia π€£π€£π€£Utanikumbuka nakuambiaa π₯΄π₯΄π₯΄
Pole Dada Joannah π’Ondoa shobo,Bora Mimi Nina irresponsible father kuliko wewe uliyetungwa vilabuni hujui thamani ya baba ndio maana unaweza ropokaropoka hovyo ......Narudia Tena sitaki quote zako
Haya bhana π€Ukumbukwe ww biblia π€£π€£π€£
Ila all in all sisi wanawake wa ukanda huu tuseme subsaharan eee kiwango cha mapenzi kinapimwa na kiwango cha maokotoMwanamke hapewi pesa.
Mwanamke anapewa card ajichotee mwenyewe anavyotaka.
Lakini hiyo mitihani ya kuaminiwa kufikia hiyo level ya kupewa card sasa π€£π€£π€£.
Oyaaa bro mi wa kiumeni π€£π€£π€£M
Mwandiko wa kike huu kabisa yani