HSE Officer
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 665
- 892
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Coca, sisi tunawajua wanawake wa class zetu, na ndio tunaowafata. Tatizo ni hao wanawake wa class zetu kujidai matawi wakati sisi tunawaona ni class zetu!
Mfano huyu mwanamke anaejidai anataka iphone 12 wakati nauli ya kwenda kazini hana, kodi ya nyumba hana, huyo ana class gani ya kumshinda mleta mada?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume anapokuhonga 20,000, sio kwamba hana hela nyingine, ni kwamba anakuona wewe ni wa 20,000. Haijalishi wewe unajiona wa class gani [emoji1]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app