Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Jaribu kuuzoom mchafu😁🤣🤣🤣🤣 Khaaaaa!!! Yani mbavu zinaniuma.
Hapo kwenye mikei michafu inayolambwa ndo tatizo lilipoanzia 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuuzoom mchafu😁🤣🤣🤣🤣 Khaaaaa!!! Yani mbavu zinaniuma.
Hapo kwenye mikei michafu inayolambwa ndo tatizo lilipoanzia 😂😂😂
Ushauri Gani huo Tena Adela🙄🙄🙄?Huyo mwanamke ni gold digger huyo kimbia kabisaa🤣
🤣🤣🤣🤣 niomboleze kuachwa?? We kuweza?? Ameniacha huku bado ananipenda, tatizo mtoto wa mama anadeka sana..!!!Una hamu ya kupigwa wewe 😀😀😀hautaki hata kuomboleza
Nakuelewa sana brotherYeah sio mbaya kuliko amlipie kodi halafu aingize vidume vingine viende kummega
Mi unadhani hata mshenzy mshenzy basi kama unavyonichukulia Mimi nasimamimia ukweli tu,ambao hata ukimuacha huyo uliyenae ukaenda kwenye sample za Adela lazima tu utapigwa kizinga,LAZIMAAA,niamini Kuna siku utanikumbuka.....hapo wanazuga tuMmeshazoeana jinsia ke kuteteana hata kwenye jambo la kijinga ahsante totoadela sio mwanamke mshenz mshenz kama wewe
Uzuri nilishawahi kuwa mshindi kabla yake maana nlikuwa namuita gheto anajifanya mjanja kesho asubuh bila taarifa nikamuweka status mtoto mzr sana tena video tukiwa somewhere tunakula bata halafu nikauchuna dem alivyochek tu akanivutia waya akaanza kulia lia nikamwambia wewe c nakuita unazingua mara kesho huyu hapa gheto nikaisugua mpaka asubuhNdio maana nasema siku hizi mapenzi ni mchezo wa kuviziana.. anaewahi ndio mshindi. Ke anawahisha mahitaji ili achukue chake mapema, huku me nae anawahi kutaka gemu ili akishakula asepe..😄 Patamu hapoo na gemu haitaki hasira ukigundua umewahiwa unakua mpole unacheki ustaarabu sehem nyingine✌️😊
Dada acha tu, boss wako tunataniana sio wapenzi wa kweli.Boss wangu Hana Hizo mbanga za kimaskini🤣🤣🤣yupo radhi akulipie kwanza hiyo frame ndio akuache
Ngoja nimzoom aiseee!! 🤣🤣🤣Jaribu kuuzoom mchafu😁
Usiruhusu mwanamke ambaye amevumilia umasikini wa baba yake kwa miaka mingi tangu akiwa mdogo mpaka amekua mkubwa aje kukupa presha za kumhudumia while her broke father failed.Nakuelewa sana brother
Umeanza uongo sasa 🤣🤣🤣Uzuri nilishawahi kuwa mshindi kabla yake maana nlikuwa namuita gheto anajifanya mjanja kesho asubuh bila taarifa nikamuweka status mtoto mzr sana tena video tukiwa somewhere tunakula bata halafu nikauchuna dem alivyochek tu akanivutia waya akaanza kulia lia nikamwambia wewe c nakuita unazingua mara kesho huyu hapa gheto nikaisugua mpaka asubuh
Kwa style hio mtagongwa sana na kuachwaNa lazima watoe ili kurahisisha mambo 🤣🤣🤣
Hakika mkuuUsiruhusu mwanamke ambaye amevumilia umasikini wa baba yake kwa miaka mingi tangu akiwa mdogo mpaka amekua mkubwa aje kukupa presha za kumhudumia while her broke father failed.
Mcheki bimkubwa wako, mzee wako na ndugu zako wa karibu wa familia uliyotoka kwa unachopata, utaona jinsi unakuwa na furaha na moyo wako utaridhika sana.
Uzuri wa wazazi wetu katika visa vingi hawana kiasi hususa wanachotaka uwasaidie chochote kile kwao wanathamini sio kama hawa malaya
Chochote unachomtumia bimkubwa wako au baba yako anakushukuru kutoka moyoni tofauti na malaya.
Na Mungu atakubariki
Sema tunagongana, kwani si wote tunaridhika?? Wee vipi??Kwa style hio mtagongwa sana na kuachwa
Na bado utalia sanaMi wangu kaniacha halafu kodi ya fremu mwezi ujao 😭😭😭😭 nimelia sana
Kaninunulia bando la kuniaga kwanza la mwezi ili nipate kuingia JF kutoa machungu 🤣🤣🤣🤣 wanaume wote mlaaniwe
Wakoloni wenyewe walikaa wakaondoka,si eti eeh😁???Sema tunagongana, kwani si wote tunaridhika?? Wee vipi??
Kuachwa kawaida, unataka ukae na mtu muda mrefu ili ugundue nini?? Kuna madini unachimba?? 🤣🤣🤣🤣
Unadanganyika kirahisi sana😁😁😁😁Kwa hiyo unahisi kalia kweli?Na bado utalia sana
Nimekuelewa kaka ushauri wako ntaufanyia kaziNyie watu wa ajabu sana. Mungu anawapenda, anawapa ishara zote mwanzoni kabisa kuwa huyo mwenza wako hakufai. N a wewe bado tu umekodoa macho unakusanya za mizinga.
Tafuta mke mwema, mcha Mungu, asie na makuu na owa kabisa uone baraka na raha maishani.
Hebu tulia wewe😂😂Naomba msiniquote naomba niuache uzi wenu 😂😂😂😂