Wakuu nina wazo

Wakuu nina wazo

Mi unadhani hata mshenzy mshenzy basi kama unavyonichukulia Mimi nasimamimia ukweli tu,ambao hata ukimuacha huyo uliyenae ukaenda kwenye sample za Adela lazima tu utapigwa kizinga,LAZIMAAA,niamini Kuna siku utanikumbuka.....hapo wanazuga tu
Kuhudumiwa sio tatzo ila sio kindez ndez kama huyu dem anavyotala
 
Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.

Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.

Nikamuuliza vipi mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.

Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.

Ila baada ya hapo huyo demu amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.

Basi yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hivi siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.

Mwanamke usiyeendana naye unatakiwa kumchuja mapema sana. Hapa inaonekana unaendekeza "sitaki nataka".

Kuwa na mwanamke masikini wa hali na mali ni kualika umasikini uendelee maisha yote kwako pia.
 
Mi unadhani hata mshenzy mshenzy basi kama unavyonichukulia Mimi nasimamimia ukweli tu,ambao hata ukimuacha huyo uliyenae ukaenda kwenye sample za Adela lazima tu utapigwa kizinga,LAZIMAAA,niamini Kuna siku utanikumbuka.....hapo wanazuga tu
Kuna mizinga halafu kuna nuclear annihilation.

Yani mwanamme mwenyewe maisha anajipanga bado halafu anaombwa iPhone, kabla hajajipanga iPhone anaombwa kodi.

Hilo penzi au biashara?
 
Kuna mizinga halafu kuna nuclear annihilation.

Yani mwanamme mwenyewe maisha anajipanga bado halafu anaombwa iPhone, kabla hajajipanga iPhone anaombwa kodi.

Hilo penzi au biashara?
Nimeshangaa sana mkuu
 
Mkuu mbona huyu demu kama namfahamu..?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna ambae nilikua nae juzi nae ana iphone x na kaniambia haitaki tena anataka ku top up achukue 13 pro max. Nikamuambia umeambiwa uongeze shing ngapi anadai kaambiwa ajazie 1.5m. Namuuliza ehee we una ngapi sasa kati ya hizo? Anasema ana 100k! (Najua ni uongo hana ata mia) [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilicheka sana nikamuambia hebu vua nguo tulale..
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
UOngo upi hii ni fact alikuja kwangu jumapili mchana tukaondoka wote jumatatu asubuh kwenda makazini
Misso Misondo ushaanza fix 🤣🤣🤣
Ww ungekuwa na jeuri ya kummudu usingeleta uzi wa kushauriwa hapa
 
Hawa kausha damu mbona wengine hatuwapati tuwape maneno yao?

Yani tunapata wanawake wana heshima mpaka inakera 🤣🤣🤣
Mtu unamuita anarequedt bolt 1500/2000 anataka umlipie
Duh ni hatare
Ila mimi naona mwanamke anaekupenda haombi ela kwani kabla yako alikuwa na wazazi,maisha na mengine yalikua yanaendelea
Kwa mfano kama hapo mtoa mada kasema aliomba elfu 30 ya nauli ina maana asingepeea hiyo 30 asingeenda kazini?
 
Back
Top Bottom