Wakuu nina wazo

Wakuu nina wazo

Coca, sisi tunawajua wanawake wa class zetu, na ndio tunaowafata. Tatizo ni hao wanawake wa class zetu kujidai matawi wakati sisi tunawaona ni class zetu!

Mfano huyu mwanamke anaejidai anataka iphone 12 wakati nauli ya kwenda kazini hana, kodi ya nyumba hana, huyo ana class gani ya kumshinda mleta mada?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwanaume anapokuhonga 20,000, sio kwamba hana hela nyingine, ni kwamba anakuona wewe ni wa 20,000. Haijalishi wewe unajiona wa class gani [emoji1]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mtu unamuita anarequedt bolt 1500/2000 anataka umlipie
Duh ni hatare
Ila mimi naona mwanamke anaekupenda haombi ela kwani kabla yako alikuwa na wazazi,maisha na mengine yalikua yanaendelea
Kwa mfano kama hapo mtoa mada kasema aliomba elfu 30 ya nauli ina maana asingepeea hiyo 30 asingeenda kazini?
Mwanamke hapewi pesa.

Mwanamke anapewa card ajichotee mwenyewe anavyotaka.

Lakini hiyo mitihani ya kuaminiwa kufikia hiyo level ya kupewa card sasa 🤣🤣🤣.
 
Hua inafurahisha sana ukikutana nao kipindi icho anakuhadithia kwa uchungu jinsi ambavyo wanaume wamemtenda. Na wewe unajidai kumuonea huruma na kumbembeleza, huku ukiwalaani wanaume waliomuumiza na kumtelekeza. Kumbe na wewe unataka upige ulale mbele kwa speed ya jet [emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Shida sana kujivika majukumu ya baba ilihali huyo ni rafiki tu, mtu mmeanza tu mahusiano anakugeuza kitega uchumi.

Sijui hizi akili zenu zina nini wakuu.
 
Mimi nashauri mtu akikuomba kitu kama huna au hutaki kumpatia mwambie tu SINA usimpe matumaini yoyote unatengeneza uadui lakini pia itakufanya umjue mapema ni mtu wa aina gani, akiondoka muache aende.
 
Achana nae, Wala usimfanyie kisasi wewe chakufanya nenda zako dili na mambo yako mengine na siku nyingine ukiwa makini utampata anaekufaa, achana na nae huyu atakupotezea muda wewe mwenyewe unajua jinsi muda ulivyo Mali siku hizi, Kuna mambo mengi ya msingi ya kufikiria.
 
Mtu unamuita anarequedt bolt 1500/2000 anataka umlipie
Duh ni hatare
Ila mimi naona mwanamke anaekupenda haombi ela kwani kabla yako alikuwa na wazazi,maisha na mengine yalikua yanaendelea
Kwa mfano kama hapo mtoa mada kasema aliomba elfu 30 ya nauli ina maana asingepeea hiyo 30 asingeenda kazini?
Na mbona kazini alienda japo baadae nilimtumia ila hata ahsante akujibu
 
Mtu unamuita anarequedt bolt 1500/2000 anataka umlipie
Duh ni hatare
Ila mimi naona mwanamke anaekupenda haombi ela kwani kabla yako alikuwa na wazazi,maisha na mengine yalikua yanaendelea
Kwa mfano kama hapo mtoa mada kasema aliomba elfu 30 ya nauli ina maana asingepeea hiyo 30 asingeenda kazini?
Ila wewe dada una akili sana
 
Achana nae, Wala usimfanyie kisasi wewe chakufanya nenda zako dili na mambo yako mengine na siku nyingine ukiwa makini utampata anaekufaa, achana na nae huyu atakupotezea muda wewe mwenyewe unajua jinsi muda ulivyo Mali siku hizi, Kuna mambo mengi ya msingi ya kufikiria.
Coment makini sana kaka shukran huu ushauri nimeupokea vema
 
Back
Top Bottom