Wakuu nina wazo

Wakuu nina wazo

Mnaachaga wanawake wanakupenda wanakujali unamuacha unaenda kwa danga halafu unakuja kutoa shida zako humu .

Unakuta wanawake wazuri unawaita madanga sifa mbaya unawamwagia halafu unaenda kwa malaya original unakuja kulia lia
 
Inabidi utoe ufafanuzi kuhusu hiyo rent, je wakati anaanza kurent alikushirikisha? Je, mshahara wake unatosha kulipa hiyo rent?
 
Mwanamke hapewi pesa.

Mwanamke anapewa card ajichotee mwenyewe anavyotaka.

Lakini hiyo mitihani ya kuaminiwa kufikia hiyo level ya kupewa card sasa 🤣🤣🤣.
Ila all in all sisi wanawake wa ukanda huu tuseme subsaharan eee kiwango cha mapenzi kinapimwa na kiwango cha maokoto
 
Back
Top Bottom