Mtu mwema sana,Hana baya mdogo wanguManyanza huyu kila siku ananipa mahubiri yake, ananichoshaga tyuuu!! π€£π€£π€£
Nilikuwa naumwa Nika kiPM lakini umenikaushia πππMtu mwema sana,Hana baya mdogo wangu
Mhmm!! Dada uko wapi?? Umeanza kutupia vitu?? πππMtu mwema sana,Hana baya mdogo wangu
Pm unatuma vinini? πNilikuwa naumwa Nika PM lakini umenikaushia πππ
Dada yangu huyo nimememchagua na Yeye kakubali Sasa shida yako Nini ? πππPm unatuma vinini? π
Yaani Wewe ni M2ku2 sana πππMhmm!! Dada uko wapi?? Umeanza kutupia vitu?? πππ
Eti kumgonga kwa mara ya mwisho na kumdump.Muwe mnasoma nyuzi mpaka mwishoWazo ulilo nalo ni lipi sasa, au umechanganyikiwa
Sijakataa, ila msg gani umemtumia dada yako mpk kakukaushia πDada yangu huyo nimememchagua na Yeye kakubali Sasa shida yako Nini ? πππ
Kaka Manyanza ss hivi mbona nimeacha na nimeokokaYaani Wewe ni M2ku2 sana πππ
Ukiokoka Wewe , yaani Tanzania itanyesha mvua ya maziwa wiki nzima π€£π€£πKaka Manyanza ss hivi mbona nimeacha na nimeokoka
Hajafungua PMSijakataa, ila msg gani umemtumia dada yako mpk kakukaushia π
Hivi Mwanamke mwenye Class ana character zipi?Demu kagundua huyo mwanaume sio class yake kaamua kumtafutia muacho kimtindo, sasa umkute demu anamiliki gheto halafu utegemee kumuhonga pesa mbuzi km mwanafunzi kweli??
Yy atafute demu anayekaa kwao ndio atammudu akimpa laki kwa mwezi atacheka muda woteβ¦!!! Hao wapambanaji sio size yake ss hivi, aendelee kujitafuta.
π€£π€£π€£π€£ kweli nimeokoka nampenda YesuUkiokoka Wewe , yaani Tanzania itanyesha mvua ya maziwa wiki nzima π€£π€£π
Itakuwa ww msumbufu ndiomana kakuchunia πππHajafungua PM
Km za huyo mpz wa mtoa madaHivi Mwanamke mwenye Class ana character zipi?
Yesu hataki Mwanamke na ataishi na ubikira wake vile vile, Wapende Unaowaona ππππ€£π€£π€£π€£ kweli nimeokoka nampenda Yesu
Basi nakupenda ww mfyuuuu ππππYesu hataki Mwanamke na ataishi na ubikira wake vile vile, Wapende Unaowaona πππ