Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mtu mwema sana,Hana baya mdogo wanguManyanza huyu kila siku ananipa mahubiri yake, ananichoshaga tyuuu!! 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwema sana,Hana baya mdogo wanguManyanza huyu kila siku ananipa mahubiri yake, ananichoshaga tyuuu!! 🤣🤣🤣
Nilikuwa naumwa Nika kiPM lakini umenikaushia 😂😂😂Mtu mwema sana,Hana baya mdogo wangu
Mhmm!! Dada uko wapi?? Umeanza kutupia vitu?? 😂😂😂Mtu mwema sana,Hana baya mdogo wangu
Pm unatuma vinini? 😜Nilikuwa naumwa Nika PM lakini umenikaushia 😂😂😂
Dada yangu huyo nimememchagua na Yeye kakubali Sasa shida yako Nini ? 😂😂😂Pm unatuma vinini? 😜
Yaani Wewe ni M2ku2 sana 😂😂😂Mhmm!! Dada uko wapi?? Umeanza kutupia vitu?? 😂😂😂
Eti kumgonga kwa mara ya mwisho na kumdump.Muwe mnasoma nyuzi mpaka mwishoWazo ulilo nalo ni lipi sasa, au umechanganyikiwa
Sijakataa, ila msg gani umemtumia dada yako mpk kakukaushia 😜Dada yangu huyo nimememchagua na Yeye kakubali Sasa shida yako Nini ? 😂😂😂
Kaka Manyanza ss hivi mbona nimeacha na nimeokokaYaani Wewe ni M2ku2 sana 😂😂😂
Ukiokoka Wewe , yaani Tanzania itanyesha mvua ya maziwa wiki nzima 🤣🤣😂Kaka Manyanza ss hivi mbona nimeacha na nimeokoka
Hajafungua PMSijakataa, ila msg gani umemtumia dada yako mpk kakukaushia 😜
Hivi Mwanamke mwenye Class ana character zipi?Demu kagundua huyo mwanaume sio class yake kaamua kumtafutia muacho kimtindo, sasa umkute demu anamiliki gheto halafu utegemee kumuhonga pesa mbuzi km mwanafunzi kweli??
Yy atafute demu anayekaa kwao ndio atammudu akimpa laki kwa mwezi atacheka muda wote…!!! Hao wapambanaji sio size yake ss hivi, aendelee kujitafuta.
🤣🤣🤣🤣 kweli nimeokoka nampenda YesuUkiokoka Wewe , yaani Tanzania itanyesha mvua ya maziwa wiki nzima 🤣🤣😂
Itakuwa ww msumbufu ndiomana kakuchunia 😂😂😂Hajafungua PM
Km za huyo mpz wa mtoa madaHivi Mwanamke mwenye Class ana character zipi?
Yesu hataki Mwanamke na ataishi na ubikira wake vile vile, Wapende Unaowaona 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 kweli nimeokoka nampenda Yesu
Basi nakupenda ww mfyuuuu 😂😂😂😂Yesu hataki Mwanamke na ataishi na ubikira wake vile vile, Wapende Unaowaona 😂😂😂