Wakuu nina wazo

Wakuu nina wazo

Hapana Demu sio ni Chuma ulete.

Baadae umri ukishaenda atakuja kulalamika humu eti wamemchezea.
Hapo anataka wa kumlipia kodi, kumnunulia Iphone n.k.

Ameitwa na Mwamba akaonekana yuko bize na simu na kimawazo hayupo kabisa.

Kifupi uyo demu kaona jamaa ana pesa lakini hakuna mapenzi hapo.
Demu kagundua huyo mwanaume sio class yake kaamua kumtafutia muacho kimtindo, sasa umkute demu anamiliki gheto halafu utegemee kumuhonga pesa mbuzi km mwanafunzi kweli??

Yy atafute demu anayekaa kwao ndio atammudu akimpa laki kwa mwezi atacheka muda wote…!!! Hao wapambanaji sio size yake ss hivi, aendelee kujitafuta.
 
Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.

Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.

Nikamuuliza vp mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.

Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.

Ila baada ya hapo huyo dem amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.
Bac yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hv siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.
Mahusiano siku hizi magumu sana yani ukishaanza mahusiano kodi zinaisha na simu zinakua mbovu
 
Hapana Demu sio ni Chuma ulete.

Baadae umri ukishaenda atakuja kulalamika humu eti wamemchezea.
Hapo anataka wa kumlipia kodi, kumnunulia Iphone n.k.

Ameitwa na Mwamba akaonekana yuko bize na simu na kimawazo hayupo kabisa.

Kifupi uyo demu kaona jamaa ana pesa lakini hakuna mapenzi hapo.
Yes mkuu mimi alinivunja moyo sio kwamba siwez kumgaramia but respond yake airidhishi kabisa
 
Yupo na iphone X anataka afanye top up apate iphone 12pro
Mkuu mbona huyu demu kama namfahamu..?🤣🤣🤣

Kuna ambae nilikua nae juzi nae ana iphone x na kaniambia haitaki tena anataka ku top up achukue 13 pro max. Nikamuambia umeambiwa uongeze shing ngapi anadai kaambiwa ajazie 1.5m. Namuuliza ehee we una ngapi sasa kati ya hizo? Anasema ana 100k! (Najua ni uongo hana ata mia) 🤣🤣🤣 Nilicheka sana nikamuambia hebu vua nguo tulale..
 
Back
Top Bottom