Wakuu nina wazo

Wakuu nina wazo

Hapana Demu sio ni Chuma ulete.

Baadae umri ukishaenda atakuja kulalamika humu eti wamemchezea.
Hapo anataka wa kumlipia kodi, kumnunulia Iphone n.k.

Ameitwa na Mwamba akaonekana yuko bize na simu na kimawazo hayupo kabisa.

Kifupi uyo demu kaona jamaa ana pesa lakini hakuna mapenzi hapo.
Unatumia nguvu kubwa kujibu Yatima mwendokasi wenziye humu, hao wote ni kuwapuuza tu.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo hayatabiriki. Huyo anaekaa kwao anaweza kuwa wa hovyo kuliko anaejitegemea.
Bado Ke anayeishi kwao ana unafuu kwa 70% kuliko Ke anayeishi ghetto, kiuhalisia Ke akiwa free sana ndivyo hujirahisisha kuwa gubegube maana hushawishiwa na vingi pasipokuwa na Mtu wa kumuonya/kumkataza afanyavyo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
birthday ni mwanzo
Kodi ni mwanzo
Gesi kuisha ni mwanzo
Mama kuumwa n mwanzo
Luku ni mwanzo
Mbinu zenu ni mwanzo tu sijui zinatoka MWANZO ngapi kwenye biblia?😂😂
Umesahau mjomba kumeza shoka, bibi amefariki nauli sina, dressing table imeisha kwa fundi ila bado ananidai. 🤣🤣🤣🤣
Sisi kila kitu mwanzo km agano la kale 😜
 
Back
Top Bottom