Wakuu nina wazo

Wakuu nina wazo

Ila wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Yani mtu hela ya kula hana, ila anataka kuwekeza 2m kwenye iphone ili akapige picha chooni aonyeshe macho ma3. Izo ni akili au matope..?
Na iphone lenyewe halipewi hata matunzo ya bando sana sana vifurushi vya chuo tu [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli na Mimi nimeshangaa wanawezaje aisee hivi hizo I phone Zina maajabu gani kwani mtusimulie
Kamera kali, kasi ya internet, usalama wa password na GB nyingi ambazo nusu ya GB hujazwa videos za Tom na Jerry, gemu na picha za umbeya umbeya wa celebrities, taarabu, vigodoro na singeli tu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
anafikiri akina kenzy tunaweza kufanya hivyo sie mashetani ni tafrani sana ,vurugu ni nyingi harakati za kudusua vizazi ndio usiseme... amuache aone akina kenge tunavyoibuka
🤣Hamshindwi na jambo
 
Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.

Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.

Nikamuuliza vipi mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.

Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.

Ila baada ya hapo huyo demu amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.

Basi yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hivi siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.
Mwambie kodi ikiisha ahamie kwako.
 
Mnapowasema wanaume kutowatunza wapenzi wao wa kike (girlfriends) muanze kwanza kuwasema baba zenu

Umesema vizuri sana kipimo cha mwanamume ni kudeal na majukumu. Turudi kwa baba zenu sasa nao ni wanaume sio?

Ikiwa ndivyo mnapokuwa ombaomba, kosa ni la nani? Ni letu au la baba zenu?

Hiyo sio shida yetu kosa ni la baba zenu waliwatia mimba bi wakubwa zenu halafu wanashindwa kuwatunza nyinyi watoto zao

Iweje wanategemea sisi wanaume wenzao tubebe jukumu lao?

Until we marry her, we ain't her responsibility

Kings we never playing fatherly role on girlfriends

The game is brutal but still fair
We msenge baba yangu na mama ya gu kaingiaje kwenye hii conversation?mwanzo na mwisho kuniquote na huo mdomo wako mchafu uliozoea kulamba mikei michafu....usinitibue zivuma
 
Ndiomana kodi zinadaiwa mapema
Ndio maana nasema siku hizi mapenzi ni mchezo wa kuviziana.. anaewahi ndio mshindi. Ke anawahisha mahitaji ili achukue chake mapema, huku me nae anawahi kutaka gemu ili akishakula asepe..😄 Patamu hapoo na gemu haitaki hasira ukigundua umewahiwa unakua mpole unacheki ustaarabu sehem nyingine✌️😊
 
Ndio maana nasema siku hizi mapenzi ni mchezo wa kuviziana.. anaewahi ndio mshindi. Ke anawahisha mahitaji ili achukue chake mapema, huku me nae anawahi kutaka gemu ili akishakula asepe..😄 Patamu hapoo na gemu haitaki hasira ukigundua umewahiwa unakua mpole unacheki ustaarabu sehem nyingine✌️😊
😂😂😂Lakini inategemea Jamani hasa Hawa wa kula na kusepa ila km mtu mwenye malengo anatoa tu na Wala haombi chochote
 
Back
Top Bottom