Wakuu nipeni dili za pesa hata kama ni Haramu mi nifanya life ni gumu kitaani Aisee

Wakuu nipeni dili za pesa hata kama ni Haramu mi nifanya life ni gumu kitaani Aisee

Mboju

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
283
Reaction score
727
Sitaki kueleza sana ila wakuu life limeninyoosha hasa naombeni dili yoyote mi nitapiga life ni tite kinoma aisee kila unacho fanya hakiendi mpaka kula kwenyewe shida tafadhalini leteni Dili yoyote mi nitapiga walau na mimi niwe na uhakika wa kula
 
Back
Top Bottom