Kama sio handsome forgeriiiitiiiAta kupostiwa tu ili nijue kama nipo peke angu lkn hola
Sawa kaka ahsante sema kuna kipindi unahitaji kuwa na mpenz ili akili ikae sawa maana kuwa single muda mrefu napo kuna vitu utavikosa yu huwez ujawa sawa labda upige puliUna akili sana...
Ukiwa na akili sana mapenzi hutayaweza...
Hebu tumia akili yako kujijenga kiuchumi na nchi kwa ujumla ...mapenzi achan nayo..
Akili is inversely proportional to mapenzi..
Ukiona mtu ana wapenzi wengi hujue ana akili
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Dah sema hilo nalo nenoKama sio handsome forgeriiiitiii
Hata wanaopostiwa hawaambiwagi kama wanapostiwa…😁😁wanajikutaga huko Kwa status.Ata kupostiwa tu ili nijue kama nipo peke angu lkn hola
Endelea kuotaHela nj hizi hiz za kawaida tu maana ninae deti nae hata yeye kwao sio matajiri hasa asitake hela nyingi wakat kwao hawana
Birthday alishawahi ni mara moja tuMwanamke anaekuzimia lazima akupost ila wale wanaojielewa hukupost hasa hasa kipindi ni birthday yako, au mmeenda date, mme-have fun
vipi mshapita huko na bado hakupost?
Hela mbona nampa kulingana na kipato ila huwa nampa sana kuliko kumnyima asa sijajua nakosea wap au sipendwiEpuka hii kauli utaanza kuona mabadirko
View attachment 2272171
uko bien sir?Epuka hii kauli utaanza kuona mabadirko
View attachment 2272171
usimpe attention yako yeyote. kua kauzu utanishukuruHela mbona nampa kulingana na kipato ila huwa nampa sana kuliko kumnyima asa sijajua nakosea wap au sipendwi
I seeNo I'm not