Wakuu nipeni maujanja

Wakuu nipeni maujanja

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
673
Reaction score
1,915
Wasaalaam wakubwa zangu jamani nimekaa nimejiuliza hivi nyie vidume wenzangu huwa mnafanyaje fanyaje mpaka mnapostiwa na kuwekwa DP kabisa mbona mimi sijawahi au bado nafanyiwa tathmini I mean nipo kwenye majaribio, au ndio nina det na demu wa mtu.

Hebu nipeni mbinu wadau nami nijione mtu kwenye watu.
 
Una akili sana...
Ukiwa na akili sana mapenzi hutayaweza...

Hebu tumia akili yako kujijenga kiuchumi na nchi kwa ujumla ...mapenzi achan nayo..


Akili is inversely proportional to mapenzi..


Ukiona mtu ana wapenzi wengi hujue ana akili

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sawa kaka ahsante sema kuna kipindi unahitaji kuwa na mpenz ili akili ikae sawa maana kuwa single muda mrefu napo kuna vitu utavikosa yu huwez ujawa sawa labda upige puli
Kama sio handsome forgeriiiitiii
Dah sema hilo nalo neno
 
Ata kupostiwa tu ili nijue kama nipo peke angu lkn hola
Hata wanaopostiwa hawaambiwagi kama wanapostiwa…😁😁wanajikutaga huko Kwa status.

Mwandiko wako unanionyesha kuwa kuna mahali unakwama 😎
 
Au wewe unazungumzia akina mwajay wanakupost kurusha roho na mabango kibao ndo unasemea kupostiwa kwa aina hii au what do you wish exactly mdau?
 
Hata wanaopostiwa hawaambiwagi kama wanapostiwa…😁😁wanajikutaga huko Kwa status.

Mwandiko wako unanionyesha kuwa kuna mahali unakwama 😎
Mh mwandiko hausomeki au ina shida gani
Embubnipe mbinu mnatumia vigezk gani kumpost mtu
 
Mwanamke anaekuzimia lazima akupost ila wale wanaojielewa hukupost hasa hasa kipindi ni birthday yako, au mmeenda date, mme-have fun

vipi mshapita huko na bado hakupost?
Birthday alishawahi ni mara moja tu
Na hakuonesha kama ni mpenz alipost kama rafiki tu maana kipindi hicho ndio tulikuwa tunaanza kujuana so haikuwa na nguvu sana
 
Back
Top Bottom