rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Tafute pesa uwache kujitamburisha sana kwa watu.Wasaalaam wakubwa zangu jamani nimekaa nimejiuliza hivi nyie vidume wenzangu huwa mnafanyaje fanyaje mpaka mnapostiwa na kuwekwa dp kabisa mbona mimi sijawahi au bado nafanyiwa tathmini I mean nipo kwenye majaribio, au ndio nina det na demu wa mtu
Hebu nipeni mbinu wadau nami nijione mtu kwenye watu
Tena ile iliyopendekezwa na jaji WariobaSuluhisho ni katiba mpya.
Matumizi unatoa? Au ndo yake tale ya efu 20?Ata kupostiwa tu ili nijue kama nipo peke angu lkn hola
Wasaalaam wakubwa zangu jamani nimekaa nimejiuliza hivi nyie vidume wenzangu huwa mnafanyaje fanyaje mpaka mnapostiwa na kuwekwa DP kabisa mbona mimi sijawahi au bado nafanyiwa tathmini I mean nipo kwenye majaribio, au ndio nina det na demu wa mtu.
Hebu nipeni mbinu wadau nami nijione mtu kwenye watu.
Matumizi unatoa? Au ndo yake tale ya efu 20?
HahahaUko na usd dollars, tshilings au ndo wallet yako inasoma mchele mchele!!