Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Unahonga hela kubwa sana'nini?Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Hela ya kufuru unapomhonga mwanamke huwa inaleta stress sana.
Unapopanda kwenye tuta unakuwa na over expectations kibao zilizochanganyika na hasira ya unyonge wa kupoteza.
Wadhani mchanganyiko wa mambo yote hayo kichwani mwako, matokeo yaweza kuwa ni nini, ni kufeli tuu.
Kwanza dk1 ni nyingi sana, kikawaida huwa ni kule kuiona tu tayari ushapaniki, unajikojolea.
Shukuru wewe hata kudumu dk nzima ukiwa umezama ndani.