Wakuu nisaidieni, Hata dk 1 Haifiki nimefika

Wakuu nisaidieni, Hata dk 1 Haifiki nimefika

Wanawake kwenye ndoa zenu wanalalamika kwakwel taften dawa hawa vijana wa miaka ya 2000 wanacheza sana na wake zenu amini ivyo
nani amekupa mamlaka ya kuwasemea wake zetu? who the *** are you btw??? binti, hao vijana wa 2000 wanacheza na wewe siyo wake zetu. go get a job, shithole.
 
watanzania hamna elimu sahii kwenye vitu complex. mnaunga unga tu hearsays za vijiweni. una uhakika wa kitaalamu kuwa sababu ya yeye kutozidi dk 1 ni punyeto?
Yangu sio kauli ni swali, nimemuuliza aseme ndio au hapana.. ili tujue kifuatacho..
Kwani dr. Akikuuliza tatizo lako unene je unakula sana mawanga na masoda atakuwa kakosea kuulizia ulaji wako,ama mazoezi?
Lakini watu wa nyeto mnataka kupinga uhalisia, kujichua kupitiliza ni tatizo.
 
Mtu anashauriwa afanye mazoezi ya pumzi!!

Pumzi ya kazi gani kama akichomeka tu wareno wanatoka?

Common sense tu:Nyeto ina nafasi kubwa ya kumfanya mtu achelewe au asipate kbs bao akiwa na Ke.

Sababu kwenye nyeto lazima ana-adjust mnato/size anayotaka wakati akiwa na Ke hawezi kukutana na kitu tight kiasi kile.
 
Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja

Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Ndivyo ulivyoumbwa wewe ,usijilazimieshe ,kuna wa 1km ,kuna wa 5km kuna wa half marathoni na kuna wa marathoni ,kuna wa aliKIBA ,kuna Mandingo , kuna wa Harmoz na kuna wa Amboni ,binadamu tupo tofauti.

Kama wewe ni 1 min man aka Tako3 basi tafuta demu wa 1km ,kama wewe ni AliKIBA tafuta demu mwenye Suez Canal ,kama wewe Mandingo tafuta Demu mwenye mapango ya Amboni , kama wewe mandonga mtu kazi basi tafuta demu ambaye ni marathoni.
 
una uhakika wa kitaalamu kuwa sababu ya yeye kutozidi dk 1 ni punyeto?
Kwenye nyeto hapo hata mimi nakataa, sidhani kama inaweza kuwa sababu kwa kuangalia background. Kabla sijaacha hii kitu nimefanya over 10 years na sikuwahi ona effect yoyote
 
Mtu anashauriwa afanye mazoezi ya pumzi!!

Pumzi ya kazi gani kama akichomeka tu wareno wanatoka?

Common sense tu:Nyeto ina nafasi kubwa ya kumfanya mtu achelewe au asipate kbs bao akiwa na Ke.

Sababu kwenye nyeto lazima ana-adjust mnato/size anayotaka wakati akiwa na Ke hawezi kukutana na kitu tight kiasi kile.
Ahahahahahah..umeongea kweli.
 
Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja

Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Hebu changamkia njoi ya mg 50 uone mambo.
 
Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja

Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Tumia vitunguu swaumu tembe 6 kila baada ya siku 2 halafu njoo hapa useme neno. Mazoezi pia ni muhimu
 
Kwani Hawa wanapigaje nyeto Hadi inakua hivyo!!?
Mbona Wengine tulipiga sana lakini chuma inapeleka moto ipo wini speed 120 mkia juu kama ngiri 24/7
Aache kusingizia nyeto uyo aende hospital ana matatizo yake mengine
Nyeto ipo kama bhangi mkuu..... bhangi kuna wengi wakivuta wapo fresh ila wengine adi wanavua nguo.

Mbali na nyeto mwanetu bado anaugeni na papuchi
 
wanaume kazi mnayo
isipo simama mawazo
ikimwaga mapema shida
ikiwa kama utambi shida pia
alafu ukute na pesa huna
lazima tukuchimbie mapema sana
 
Back
Top Bottom