Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Unataka kushindana na ulipotoka?
Mkuu hao hata ukimwaga damu hawaridhiki
Mkuu hao hata ukimwaga damu hawaridhiki
Jamaa unasikitika! 😂😂😂Inasikitisha 🙆♀️
Yaani inasikitisha sana 😢Jamaa unasikitika! 😂😂😂
Pole sana mkuu, Jaribu hii tiba nishawahi kusikia imeleta matokeo kwa mtu ambaye alikua hasimami kabisa.Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Ngoja tujaribu kumsaidia jamaaYaani inasikitisha sana 😢
Safiiii utakua umemfaaNgoja tujaribu kumsaidia jamaa
Safiiii utakua umemfaa
Hapa, Ila aache kulichukulia Sheria mkononi😂😂😂Pole sana mkuu, Jaribu hii tiba nishawahi kusikia imeleta matokeo kwa mtu ambaye alikua hasimami kabisa.
HATUA ZA KUFUATA.
1. Chukua kitunguu maji alafu kikate juu na chini kukipa kitako.
2. Chagua upande mmoja wa hicho kitunguu maji, ukikwangue kama unakuna nazi ili kutengeneza kashimo.
3. Chukua asali mbichi kijiko kimoja cha chakula, uweke kwenye hicho kishimo Cha kitunguu maji.
4. Iache hiyo asali ikiwa kwenye kitunguu mpaka asubuhi.
5. Asubuhi utakuta hiyo asali imekua kama maji maji, Sasa kunywa hayo maji alafu ukitafune na hicho kitunguu chenyewe.
6. Nasikia huwa inaleta kichefuchefu wakati wa kula hicho kitunguu, Hivyo unashauriwa kuwa na ndizi mbivu angalau moja ukishakula dawa ujipooze na ndizi mbivu.
7. Fanya hivyo Kila siku asubuhi kwa wiki mbili mfululizo. Hakikisha huo mchanganyiko unauweka usiku ili asubuhi uweze kupata dawa iliyochanganyika vizuri.
8. Pia jaribu kuwa unatafuna angalau punje mbili za kitunguu swaumu Kila siku usiku kabla ya kulala.
Usisahau kuleta mrejesho na ganji yangu.
Nadhani amekoma hawezi kamwe kurudiaHapa, Ila aache kulichukulia Sheria mkononi😂😂😂
Nafikiri hivyo! Lakini na nyie warembo msiwe mnaturingia sana, madhara ya kuturingia ndio haya😓Nadhani amekoma hawezi kamwe kurudia
Sawa tutaachaNafikiri hivyo! Lakini na nyie warembo msiwe mnaturingia sana, madhara ya kuturingia ndio haya😓
una muda Gani na Hilo tatzoWakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Kunywa supu ya upupu iliyochanganywa na maji ya betrii kwa mbali usisahau kutia tangawizi na kitunguu saumuWakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
si kweli, sema wanaume washamba wanaoendekeza na kufuata mikumbo ndiyo wana tabu. nakurekebisha.wanaume kazi mnayo
isipo simama mawazo
ikimwaga mapema shida
ikiwa kama utambi shida pia
alafu ukute na pesa huna
lazima tukuchimbie mapema sana
ushamba wao ni upisi kweli, sema wanaume washamba wanaoendekeza na kufuata mikumbo ndiyo wana tabu. nakurekebisha.
ushamba wao ni kushikwa masikio na matapeli wauza dawa za nguvu za kiume, wakidanganywa kuwa uume ukisimama kama utambi basi ana tatizo la nguvu za kiume. matokeo yake wanakufa kwa stress coz hawajui kuwa nguvu za kiume si kusimamisha kama msumari pekee. unaweza kusimamisha au kutosimamisha hata kwa miezi 2 mfululizo na bado ukawa fit(huna tatizo la nguvu za kiume). nimekupa shule ya bure.ushamba wao ni upi
wapi uliponirekebisha
Mmeshakaa kikao cha familia na hawa majamaaWakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
uume kuwa kama utambi tatizo ni nini kama sio ukosefu wa nguvu za kiumeushamba wao ni kushikwa masikio na matapeli wauza dawa za nguvu za kiume, wakidanganywa kuwa uume ukisimama kama utambi basi ana tatizo la nguvu za kiume. matokeo yake wanakufa kwa stress coz hawajui kuwa nguvu za kiume si kusimamisha kama msumari pekee. unaweza kusimamisha au kutosimamisha hata kwa miezi 2 mfululizo na bado ukawa fit(huna tatizo la nguvu za kiume). nimekupa shule ya bure.
nimekurekebisha uliposema kwa ku generalize kuwa wanaume wote wenye hayo uliyosema basi mnawafukia mapema.