Wakuu nisaidieni, Hata dk 1 Haifiki nimefika

Wakuu nisaidieni, Hata dk 1 Haifiki nimefika

Kwanza
Kunywa maji ya kutosha kabla ya tendo (nusu saa kabla)
Punguza speed wakati wa tendo(fanya kuwa uwe unaongea na mbususu yako wakati wa kunyanduana)
Fanya mazoezi ya push up kila siku jioni anza na 10, 20, 30, hadi 100 kwa kadri aiku zitakapo kua zinaenda.

Nunua nyanya chungu (nyanya tole) osha na uchemshe kana dakika moja uwe unakunywa 3 asubuhi na jioni 3 ,yaani siive sana.

Pili kuwa msafi
Punguza nyeto (nyeto huwa linavuruga mzunguko wa damu)
Pima uone kama hauna magonjwa ya pressure na kisukari.
Kama mwenza wako anaweza piga papuchi kila siku kwa siku 7 mfufulizo hata kama unapizi baada ya dakika utaona usijali utaona matokeo.

NB: Hakuna mwanaume ambaye hajapitia hali hii, kuna yule manzi ni mzuri sana kiwewe huwa kikubwa ukifika mchezoni unashindwa na kuna manzi huwa wanatoa harufu huyo pia huwa ni dakika...Jitulize mchezo hautaki hasira, zaidi wanawake ndo huwa wanafurahia tendo 99% kuliko wanaume.
Hivyo jua namna ya kumwandaa manzi wako kabla ya tendo.
 
Me sio ntu wa mihemuko
Hilo sio jibu la swali.. umepiga nyeto muda gani!!

Msimponze mwenzenu, hapo tiba ni aache nyeto starehe, apige nyeto tiba(hapa sijui kama atatoboa, km vip aache kabisa, aache kabisa kutizama chudai..
Ale vizuri, mazoezi ya kutosha, apate tiba ya kujiamini, mdogo mdogo atakaa sawa.
 
Hilo sio jibu la swali.. umepiga nyeto muda gani!!
Ukijua muda Eti itasaidia unataka kuaminisha nini.?

Mimi nimepiga nyeto mpaka nakutana mke wangu kwa uaminifu

Mpaka miaka kadhaa Baada ya ndoa ndio nikaacha

We unataka kupima urefu wa nyeto upate nini kwa mfano.!? 🤔
 
Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja

Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya
Kuondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Kwani hiyo dak. 1 haitosha kuleta matokeo?
 
Nb: haya ni matokeo ya yule khanisi wa chalinze

Badala ya kusomea utawala akajifunza ushoga
 
Mkuu hujadadavua vizuri, hiyo dakika 1 unayotumia ni kila round? Yaani bao la kwanza unatumia 1, la pili unatumia dakika moja hadi bao la tatu?

Huwa unafanya sex kila baada ya muda gani? Na ni kwa mwanamke huyo huyo au hata na wengine pia?

Umewahi kutumia condom pia hasa kwa bao la 2!?

Tupe pia mlo wako, umri wako pia.
 
Dawa ni hii:
1. Tenga dakika 30- kila siku asubuhi na jioni
2. Fanya mazoezi kwa siku 3-mfulizo na pumzika siku 1 , endelea
3. Hii iwe ni sehemu ya ratiba yako ya siku:

View attachment 3697937

View attachment 3697938
[Angalizo]
  • Usinunua dawa yeyote utakayo shauriwa, utapata matokeo ya muda mfupi na kujenga tatizo la kudumu maisha yako yote - Hii ni hatari, Ukithubutu kutumia dawa, unakuwa tegemezi wa dawa, hii inakuharibu zaidi.
  • Dawa pekee ni: Mazoezi, lishe safi (zingatia neno lishe SAFI), Bila kusahau usingizi wa kutosha usio pungua masaa 6-8 kwa siku.
Hii uhakika
 
Ndio nilikua napiga sana
hiyo ni ishu ya akili yako, unapopiga nyeto lengo ni kumwaga haraka ili upate furaha kwa haraka. Ushatengeneza neuropath kwamba kila ubongo wako ukipewa taarifa za kuwa unashiriki sex iruhusu viungo vyako vya uzazi kuachilia mbegu kwa haraka. Kama ilivyochukua muda kutengeneza tatizo, pia itachukua muda kupona. Utakosea zaidi ukianza kufosi au unpoanza kulalamika
 
Ukijua muda Eti itasaidia unataka kuaminisha nini.?

Mimi nimepiga nyeto mpaka nakutana mke wangu kwa uaminifu

Mpaka miaka kadhaa Baada ya ndoa ndio nikaacha

We unataka kupima urefu wa nyeto upate nini kwa mfano.!? 🤔
ana ujuaji mwingi sana tokea komenti yake yakwanza kwahuyu mgonjwa anauliza maswali ya kijinga halafu akijibiwa hana majibu ya maana kwa mgonjwa

Komenti yake yakwanza ameuambia mgonjwa kuwa aseme ukweli kuwa alikuwa anapiga nyeto ili asaidiwe mgonjwa kasema kweli nilikuwa napiga nyeto
hajamwambia hata kitu cha kueleweka eti kamwambia inawezekana kwasababu ulikuwa unapiga nyeto ndio chanzo cha tatizo lako wala hajampa mbinu yoyote yakujinasua
 
Wanawake kwenye ndoa zenu wanalalamika kwakwel taften dawa hawa vijana wa miaka ya 2000 wanacheza sana na wake zenu amini ivyo
 
Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja

Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
nani aliyekuambia unadharaulika? umejuaje unadharaulika kwa sababu huvuki dk 1?
 
Back
Top Bottom