Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Kama yapi mkuu tushirikishane tone la upendoFanya mazoezi ya pumzi
Kama yapi mkuu tushirikishane tone la upendoFanya mazoezi ya pumzi
Ila we jamaa 😆😆😆Fanya zoezi la kegel, Kila unapoenda haja ndogo (kukojoa) kojoa na kubana mkojo uutoe kwa mafungu mafungu. Lakini hakikisha kabla hujaanza kutoumber mwili wako uwe huru (achia / katoe haja zote kubwa na ndogo)
Jitengenezee hali ya kujiamini ww mwenyewe. Usipapalikie Qumma enda nayo taratibu kwa step hatua kwa hatua.
Vyakula unavyokula viupe nguvu mwili wako maana kutoumber sio kazi ndogo
Dah, vitu vyangu hivi 🥰Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya
Kuondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Mimi katika kelele changu cha ujana nilikuwa Napiga kama unavyoelezeaKwa tafiti zipi mkuu? Unazungumzia nyeto ya kupiga leo, unakaa wiki unapiga?
Nyeto iliyokithiri ina madhara, mtu anapiga nyeto asubuhi mchana jioni..
Inafika STEJI AKIONA CHOO TU KADINDA😂, akiona kopo la mafuta kadinda, akiwa pekee yake tu anajichua.
Siyo tatizo kabisaKwa hiyo umemzidi jamaa kwa dakika moja asiwaze siyo tatizo sana siyo?
Achana na mapenzi, sio fungu lako, fanya ishu zngnWakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya
Kuondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Sentensi tata sana hii.Dah, vitu vyangu hivi 🥰
Kegel exerciseWakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya
Kuondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Hiyo dozi uliyompa pia inakuza na kurefusha mkongonyo wa babuDawa ni hii:
1. Tenga dakika 30- kila siku asubuhi na jioni
2. Fanya mazoezi kwa siku 3-mfulizo na pumzika siku 1 , endelea
3. Hii iwe ni sehemu ya ratiba yako ya siku:
View attachment 3697937
View attachment 3697938
[Angalizo]
- Usinunua dawa yeyote utakayo shauriwa, utapata matokeo ya muda mfupi na kujenga tatizo la kudumu maisha yako yote - Hii ni hatari, Ukithubutu kutumia dawa, unakuwa tegemezi wa dawa, hii inakuharibu zaidi.
- Dawa pekee ni: Mazoezi, lishe safi (zingatia neno lishe SAFI), Bila kusahau usingizi wa kutosha usio pungua masaa 6-8 kwa siku.
Dk 2 mbona tayari ni mgonjwa ndugu yangu!! Unajitahidi ila ni mgonjwa.Mbona mi napiga nyeto sana hadi leo lakini nafika dakika mbili
Ulifanya kwa muda gani?Mimi katika kelele changu cha ujana nilikuwa Napiga kama unavyoelezea
Mbili asubuhi
Mbili mchana
Tatu usiku
Vile najitengezea bikra kila kila siku. 🤗
Ile ikafanya nikipewa nyuchi naona ziko mbwambwa sielewi shekh.! Ndio utakuta nusu saa bado nipo kinenani. 🤭
Nadhani umeanza kuwa mtu sahihi mkuu🫡.Astakafirilah mtumishi wa Mungu, sijawahi kuharibu uzi, siku zote mm natoa nondo tuu 😎
Dkk moja ndio dkk sahihi kwa wanaume rijali wote
Me sio ntu wa mihemukoUlifanya kwa muda gani?
Nusu saa hujakojoa goli la kwanza hilo nalo tatizo bingwa ni kwamba hisia hakuna, interval yako ya kulomba ikoje, haiwezekani uwe na kichupa, forepaly ya kutosha, kisha uvuke dk 5-15 kwa goli la kwanza ni ngumu sana...
GOli la pili sawa, unakata 15-30 wakati mwingime 45 kabisa, kutegemeana na kichupa na unaemlomba..