Tatizo huenda likawa limeanzia hapo... japo huenda kukawa na sababu nyimgime zaidi.Ndio nilikua napiga sana
Huna tatizo lolote,,,,,,ni khali ya mpito ya kawaida..."kitete"Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya
Kuondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
Inategemea nyeto alipigaje nawe ulipigaje, kisha kuna ishu za kuumbika, we hushangai wote mnaumwa malaria mnaenda hospital 1, tiba moja, mmoja anapona mwingine anakufa.Kwani Hawa wanapigaje nyeto Hadi inakua hivyo!!?
Mbona Wengine tulipiga sana lakini chuma inapeleka moto ipo wini speed 120 mkia juu kama ngiri 24/7
Aache kusingizia nyeto uyo aende hospital ana matatizo yake mengine
Kwa tafiti zipi mkuu? Unazungumzia nyeto ya kupiga leo, unakaa wiki unapiga?Sio kweli nyeto inafanya mtu achelewe
Na imekua ndogo wakati ilikua kubwa hapo awali sasa imesinyaaTatizo huenda likawa limeanzia hapo... japo huenda kukawa na sababu nyimgime zaidi.
Ahsante kwa ushauri mkuuHuna tatizo lolote,,,,,,ni khali ya mpito ya kawaida..."kitete"
Pata muda wa kupumzika pia omdoa mawazo.
Nyeto nilianza mwaka 2024Inategemea nyeto alipigaje nawe ulipigaje, kisha kuna ishu za kuumbika, we hushangai wote mnaumwa malaria mnaenda hospital 1, tiba moja, mmoja anapona mwingine anakufa.
Kama ulikuwa unajichua sana lazima hiyo itokee, Vipi una ulevi pia wa picha za ngono?Na imekua ndogo wakati ilikua kubwa hapo awali sasa imesinyaa
Hahahhhhh kajogoo hakana mambo mengi one touch inatosha kabisa!Unataka utumie dakika nyingi ili kumkomoa nani sasa ?
Kwani wewe hujawahi kuona show ya jogoo au beberu ?
😀Kula nyeto tu hapo mkuu kabla ya mechi
Mbona mi napiga nyeto sana hadi leo lakini nafika dakika mbiliMzee ulikuwa mpiga nyeto sana? Funguka upate msaada wa ukweli.
Dawa ni hii:Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya
Baba wa mazoezi ni kukimbia (waliosoma wanaita jogging) haya yatakusaidiaI kukupa stamina na pumzi.Nielekeze yanafanyajwe hayo mazoezi
Kwa hiyo umemzidi jamaa kwa dakika moja asiwaze siyo tatizo sana siyo?Mbona mi napiga nyeto sana hadi leo lakini nafika dakika mbili