Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje. Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili Mana nadharaulika.....
unanipa kazi ngumu ya kuanza kukurudisha darasanai. tatizo si nguvu za kiume, uume ukiwa kama utambi... tatizo linaweza likawa msongo wa mawazo wa mua mfupi unaotokana na kutojiamini,, ila mtu huyu huyu akijiamini tu basi ndiyo tiba yake, stress zitaondoka na atakuwa na uume imara usio kama utambi.
Nimemwambia atafute mke (aoe) au demu yule aliezoeana nae/alie ivana nae hilo tatizo litakwisha.
Shida mwanetu ukute anakutana na wale vishandu uko barabarani....wale lazima wakuzingue.
Ukimpata bibie uliezoeana nae na akawa muelewa.....hilo tatizo dogo sana,
Ipo hivi ukishapiga kimoja cha sekunde 5....usiogope mwambie ukweli na muombe mwende mkaoge wote, hakikisha unavyooga nae unamkumbatia kwa nyuma upate lile joto la matako au mkishaoga mpumzike kitandani angalau dkika 10 hakikisha tu umelala uku umemkumbatia kwa nyuma na wote muwe uchi uku mkiwa mnapiga story za kusifiana, ndo mana nasema mmpate yule mliozoeana nae, ndani ya hzo dkka 10 au 15 kama athuman kichwa wazi hajasimama basi apo itabidi tukupe ujanja mwengine.