Sema kulikuwa na promotion ya condoms,jinsi ya kujikinga na HIV, Acha uzinzi na Wewe!Kwanza nimejificha hapa ili niombe ushauri, ndio maana nimeacha nafasi ya salamu hapo juu.
Nimetoka kibaruani aiseeee.....
Huyo mtoto ni mtundu sana na amezowea kuwa namletea pipi kilasiku.
Nilipovua nguo nikaoge, kazama kwenye mfuko wa suruali akatoka na Salama kisha akampelekea mama yake huko jikoni.
Nilipo maliza kuoga nikamkuta dogo amekaa anasubiri nimalize kuoga akaniambia kwamba.... uncle, nimekuta roiko kwenye mfuko wa suruali yako nikampelekea mama... ameniambia nije nikuite.
Sasa wakuu ebu nishaurini hapa naenda kuoanguaje hii kesi??
Ushauri wa maana sana huu mkuu, sasa sina zingine hapa ndani mkuu.... na nipo chumbani bado.Chukua condom zingine weka kwenye suruali ya anco wako alafu mwite wife jifanye kukagua useme dogo ndio alikuwa nazo amekota nje.
Au weka zingine kwenye suruali ya dogo ionekane ametoka nazo shule
Ke wa 1930 - 1980s atakupongeza na kukuona shujaa jinsi gani unajali afya yake na watoto wako sababu huchezi peku mechi za ugenini, Ke wa 2000s jiandae kununiwa na kunyimwa hata unyumba.Kwanza nimejificha hapa ili niombe ushauri, ndio maana nimeacha nafasi ya salamu hapo juu.
Nimetoka kibaruani aiseeee.....
Huyo mtoto ni mtundu sana na amezowea kuwa namletea pipi kilasiku.
Nilipovua nguo nikaoge, kazama kwenye mfuko wa suruali akatoka na Salama kisha akampelekea mama yake huko jikoni.
Nilipo maliza kuoga nikamkuta dogo amekaa anasubiri nimalize kuoga akaniambia kwamba.... uncle, nimekuta roiko kwenye mfuko wa suruali yako nikampelekea mama... ameniambia nije nikuite.
Sasa wakuu ebu nishaurini hapa naenda kuoanguaje hii kesi??
Weka suruali yako Sehemu ambayo kuna nguo za dogo au weka nguo za dogo afu mpe kesi kesho nenda bar shule jifanye kwamba dogo ndio kuletaIla kuna m
Ushauri wa maana sana huu mkuu, sasa sina zingine hapa ndani mkuu.... na nipo chumbani bado.
Hapo umeisha, kwahyo ulipiga bao 4 au 1 la nguruwe maana option n hizo tuKuna moja nilisha itumia mkuu...
Ebu naomba namba yake alloo....ππ₯Ήπ₯Ήπ₯ΉView attachment 3663368
Ushimeni,kama matukio ya namna hii hayajakukuta unweza kudhani ni story tuu.Sitasahau siku kijana wangu alipoibuka na pini ya kubania hijab kwenye siti ya nyuma,alooo!
Halafu sasa familia nzima tumo humo kwwnye gari tunakwenda kanisani ,wee acha tu.Mama watoto alinikazia macho vibaya
nimebandika kikaratasi cha namba nyuma hapo.. ππEbu naomba namba yake alloo....π
hii ID asee ππMwambie nimepimwa nimekutwa na UTI sugu na hivo nakupenda ma mtu na leo nina kichupa nikaona nichukue zana nisikuambikize
uncle, nimekuta roiko kwenye mfuko wa suruali yako nikampelekea mama... ameniambia nije nikuite.