Wakuu, nishaharibu tena huku.... mtoto amesha unguza picha allooo

Kwahiyo mkuu unataka kusema mzee wetu Ushimen katengeneza story!?
 
Dogo kukuita uncle ni kiashiria kuwa aidha unaishi kwa dada yako ama umeoa single mother. Hao wote wawili hawana madhara kwako kwahiyo hakuna cha kuhofia
 
Ke wa 1930 - 1980s atakupongeza na kukuona shujaa jinsi gani unajali afya yake na watoto wako sababu huchezi peku mechi za ugenini, Ke wa 2000s jiandae kununiwa na kunyimwa hata unyumba.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Mimi kama ke wa kwenye kundi hilo ulilotaja kwa niaba ya wenzangu wote nasema hatukubaliani na hiki ulichokiandika hapa
 
Mkuu , hebu tupe mrejesho wa Ijumaa.
 
Mimi kama ke wa kwenye kundi hilo ulilotaja kwa niaba ya wenzangu wote nasema hatukubaliani na hiki ulichokiandika hapa
Suluhisho ingefaa utembee na kanuni ya "heri nusu shari kuliko shari kamili" maana maji yashamwagika, utafanyaje mkuu?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ