Wakuu nisomee mtambo gani nini kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE?

Mropoka Hovyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2023
Posts
446
Reaction score
1,253
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu.

Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda mpana kutokana na miradi mingi inayoendela hapa bongo.

Wakubwa nipo confused sana na hii ni kwasababu ya kiasi cha pesa nilichonacho.

Wakuu Ushimen , Mshana Jr, Offshore Seamen, Bujibuji Simba Nyamaume , dump, baracuda, pilato93, kalipeni, Niklaus, nguzo1, Ukwaju, Heavy equipment, JUAN MANUEL, ashomile, Bandar Abbas, Chaliifrancisco , mwandende, RRONDO na wengine wote wenye uzoefu kwenye haya mambo ya mitambo ya kunyanyua vitu vizito kwenye construction site.

NB: Nipeni na makampuni ambayo naweza kwenda pata experience ya field wakubwa. Nitafurahi sana
 
Kwa Bandari College huwezi kuanza direct mobile crane, watataka uwe na driving licence. Sijajua kwa chuo cha mitambo pale kijito nyama
 
Leseni ya gari ninayo mkuu na chuo nilichokitageti ni hicho hicho Cha bandari kwasababu ada yao ni laki sita na nusu. Kile Cha kijitonyama hapana, ada yao ni kubwa sana Kwa mobile crane tu ni Milioni Moja na laki tatu.
 
Banking and Finance.
25.
Mwanaume.
Kwa mtazamo wangu wa soko la ajira, sikushauri ukasomee fani ambayo kama usipo ajiriwa basi hauwezi ukajiajiri.
Nashauri somea fani ambayo hata usipo ajiriwa unaweza ukajiajiri hata kwa mtaji wa tools box pekee.
 
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu.

Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda mpana kutokana na miradi mingi inayoendela hapa bongo.

Wakubwa nipo confused sana na hii ni kwasababu ya kiasi cha pesa nilichonacho.

Wakuu Ushimen , Mshana Jr, Offshore Seamen, Bujibuji Simba Nyamaume , dump, baracuda, pilato93, kalipeni, Niklaus, nguzo1, Ukwaju, Heavy equipment, JUAN MANUEL, ashomile, Bandar Abbas, Chaliifrancisco , mwandende, RRONDO na wengine wote wenye uzoefu kwenye haya mambo ya mitambo ya kunyanyua vitu vizito kwenye construction site.

NB: Nipeni na makampuni ambayo naweza kwenda pata experience ya field wakubwa. Nitafurahi sana
Kasome tower 🗼 crane.
Pia ungekuwa na Hela ungeenda pale chuo cha bandari ukasome quay crane operator course, ni nzuri sana inalipa vizuri bandarini
 
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu.

Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda mpana kutokana na miradi mingi inayoendela hapa bongo.

Wakubwa nipo confused sana na hii ni kwasababu ya kiasi cha pesa nilichonacho.

Wakuu Ushimen , Mshana Jr, Offshore Seamen, Bujibuji Simba Nyamaume , dump, baracuda, pilato93, kalipeni, Niklaus, nguzo1, Ukwaju, Heavy equipment, JUAN MANUEL, ashomile, Bandar Abbas, Chaliifrancisco , mwandende, RRONDO na wengine wote wenye uzoefu kwenye haya mambo ya mitambo ya kunyanyua vitu vizito kwenye construction site.

NB: Nipeni na makampuni ambayo naweza kwenda pata experience ya field wakubwa. Nitafurahi sana
Hongera kwa kutafuta taaluma ya kukusaidia. Nakushauri some Mobile Crane. Tena kama upo Dar nendq chuo cha Bandari.
 
Hizo mobile crane ajira utasumbuka, hiyo pesa weka kesho nenda Don Bosco pale Oyster bay kachukue fomu ya mafunzo ya ufundi zile ambazo zipo chini ya udhamini wa serikali. Kwa level yako omba fani ya ufundi wa magari na mitambo. Haya mafunzo ni bure wewe utagharamia nauli kipindi cha masomo
 
Hao wanaokuambia Bandari kuna kazi si kweli. Bandari utaingia kama kibarua kupitia suma jkt na ajira saizi anatoa DP world mwenyewe
 
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu.

Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda mpana kutokana na miradi mingi inayoendela hapa bongo.

Wakubwa nipo confused sana na hii ni kwasababu ya kiasi cha pesa nilichonacho.

Wakuu Ushimen , Mshana Jr, Offshore Seamen, Bujibuji Simba Nyamaume , dump, baracuda, pilato93, kalipeni, Niklaus, nguzo1, Ukwaju, Heavy equipment, JUAN MANUEL, ashomile, Bandar Abbas, Chaliifrancisco , mwandende, RRONDO na wengine wote wenye uzoefu kwenye haya mambo ya mitambo ya kunyanyua vitu vizito kwenye construction site.

NB: Nipeni na makampuni ambayo naweza kwenda pata experience ya field wakubwa. Nitafurahi sana
Mropoka hovyo shida yako hua unaropoka ropoka tu....

Haya kasomee uropokaji kama Ahmed Ally, maana hata hapa umeropoka tu.
 
Back
Top Bottom