Wakuu njiani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi

Wakuu njiani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi

Bei rahisi Electronicks

Senior Member
Joined
Nov 24, 2025
Posts
167
Reaction score
393
Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.

Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.

Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu 😎😎😎.


images (3).jpeg
 
Kumbuka kitu kimoja, huwezi kuondoa kitambi peke yake, ni lazima mwili wote upungue.

Kama upo radhi kwa hivyo basi namna pekee ya haraka ya kuondoa kitambi ni ku control chakula. Mazoezi ni extra tu

1. Acha tungi
2. Acha kula wali, ngano, ugali, tambi na carbohydrates kwa muda
3. Acha matumizi excessive ya sukari. Jibane sana kwenye masukari ya aina zote

Mwili ukishakaa Level unayotaka na kitambi kuondoka utaanza kidogo kidogo mawanga huku unakomaa na mazoezi
 
Nimekimbiwa
Chukua shubiri mwitu majani mawili menya ondoa maganda yake na kosha chukua majani ya mlonge kiganja kimoja

Chukua Blenda yako baada ya kuosha vizuri majani yako weka saga upate juice yake glass 1

Kunywa kila siku kabla ya kwenda kulala hakikisha glass moja ya lita 1½ umeimaliza hesabu kuanzia siku 7, 14 hadi 21 km hujapata matokeo endelea mpaka siku 28

Leta mrejesho
 
Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.

Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.

Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu 😎😎😎.


View attachment 3623637
Kitambo deposition of fat inayotokea Hasa Kwa Watu wanapenda Kula Kula vizuri Kuliko kufanya kazi au Watu waliolizika na maisha, mlo unatakiwa uendane na kazi unayofanya tofauti na hapo kile chakula unachokula kinatumika kidogo kinachobaki kinabadilishwa kuwa Mafuta na Yale Mafuta kwenda kujilundika sehemu zenye eneo kubwa kama tumboni na matakoni Hasa chini ya ngozi na baadhi ya organs

Chamsingi na Kwa ufupi jaribu Kula mara moja jikaze maana NI kazi ngumu mno Hasa mwezi WA Kwanza ila hakikisha unatibu na vidonda vya tumbo Kwa pamoja kama unavyo


Baada ya miezi MI5 utarudi kunishukuru
 
Back
Top Bottom