Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 405
- 820
Weka puto utanishukuru. Mim niliweka baada ya hapo nikila vijiko vitatu vya wali tumbo lilikua linajaa kama vile nimekula plate 6, mwishoe niliisha na kitambi kwisha.
Njia pekee iliyo ya kweli ni kupunguza misosi, basi. Mtu asikudanganye eti fanya mazoezi. Katika kupunguza misosi, hakikisha huli vyakula vyenye sukari nyingi, mafuta mengi kama nyama za mafuta, chips, vyakula vingine vya kukaanga. Acha kula ugali au wali mwingi. Acha kunywa soda zenye sukari na bia. Wine kunywa.Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.
Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.
Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu 😎😎😎.
View attachment 3623637
Oa mwanamke wa kwenye mitandaoWakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.
Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.
Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu 😎😎😎.
View attachment 3623637
Shukran Mkuu nishaanza leo kufanyia kaziKunywa kahawa, maji ya moto na limao kabla hujaweka kitu tumboni!
Shukran Mkuu1. Punguza ratio ya msosi unaokula.
2. Achana na vyakula vya ngano hasa chapati.
3. Achana junkies kama soda na chips.
4. Kula milo 2 kwa siku, breakfast btn saa 3 hadi saa 5, kisha kula menu nzito btn saa 9 hadi saa 12 jioni. Baada ya hapo usile tena mpaka next breakfast.
5.Fanya shughuli za mikono zinazotoa jasho. Kama hauishi nyumba ya pavings hakikisha usafi wa nyumba unafanya mwenyewe. Kutembea iwe ndo maisha yako.
Ukifanya hayo hapo juu utakuwa umeshapata ufumbuzi wa tatizo kwa 80%. Baada ya miezi 6 utapataajibu chanya.
Safi Mkuu nishaanza kufanya ivyoAcha kula kitimoto au nyama ya mafuta mengi, acha kunywa pombe na soda punguza kula vitu vyenye sukari na ngano, acha kunywa supu kula milo miwili kwa siku. Baada ya hapo njoo utoe mrejesho, njia nyingine zitakupa mafaniko kidogo sana
Safi Mkuu nitafanya ivyoNjia pekee iliyo ya kweli ni kupunguza misosi, basi. Mtu asikudanganye eti fanya mazoezi. Katika kupunguza misosi, hakikisha huli vyakula vyenye sukari nyingi, mafuta mengi kama nyama za mafuta, chips, vyakula vingine vya kukaanga. Acha kula ugali au wali mwingi. Acha kunywa soda zenye sukari na bia. Wine kunywa.
Punguza kula kwa wingi na mara kwa mara. Mlo mmoja wa kadiri kwa siku unatosha. Jaza tumbo na mbogamboga zaidi.
Huku ukifanya hayo, nunua unga mwingi wa ubuyu na utumie kijiko 1-2 kila siku kwenye uji, chai au supu. Halafu uje hapa utupe mrejesho baada ya mwezi 1-2..
Mjomba punguza kula kutoka huo utaratibu wako wa mara 7 kwa siku, hadi mara 2 tu. Ukifanya hivyo, hicho kitambi kitaondoka faster.Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.
Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.
Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu 😎😎😎.
View attachment 3623637
Shukran Mkuu
Nipo namaliza week inanionesha matokeo! Ukiweza kula soup ya cabbage kata kubwa kubwa inakata mafuta pia, usitumie sukari na wanga!Shukran Mkuu nishaanza leo kufanyia kazi
Niombe ufungue inboxkitambi is fat, to remove it, you "burn" it, while you burn it, make sure you don't consume other fat that will make the process pointless. burn more that you consume.
Punguza kula kula hovyo kama mchwa.Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.
Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.
Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu 😎😎😎.
View attachment 3623637