Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 393
Ebu ongea na Seran nasikia ni mpenzi wa haya makitu.Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.
Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.
Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu πππ.
View attachment 3623637
Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.
Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.
Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu πππ.
Diet na hesabu tu mwanangu. Calories IN and calories OUT.Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.
Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.
Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu πππ.
View attachment 3623637
Kula vyakula vya Asili na usitumie vyakula vya kusindikwa kutoka Viwandani.Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.
Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.
Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu πππ.
View attachment 3623637
Sijaelewa wala sijausoma huu uzi,mwambie The Icebreaker akuibie mbunu maana last time alikua nacho kama mimba ya mamba mjane ila saivi akuuuu ana six pack zake mpka raha
ni mbunu hivyo hivyoSijaelewa wala sijausoma huu uzi,
Mbunu una maanisha nini?
Dogo the Icebreaker kwema pande hizo? Bwahaha π π€£ πSijaelewa wala sijausoma huu uzi,
Mbunu una maanisha nini?
Chukua shubiri mwitu majani mawili menya ondoa maganda yake na kosha chukua majani ya mlonge kiganja kimojaNimekimbiwa
Kitambo deposition of fat inayotokea Hasa Kwa Watu wanapenda Kula Kula vizuri Kuliko kufanya kazi au Watu waliolizika na maisha, mlo unatakiwa uendane na kazi unayofanya tofauti na hapo kile chakula unachokula kinatumika kidogo kinachobaki kinabadilishwa kuwa Mafuta na Yale Mafuta kwenda kujilundika sehemu zenye eneo kubwa kama tumboni na matakoni Hasa chini ya ngozi na baadhi ya organsWakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.
Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.
Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu πππ.
View attachment 3623637