Tofauti ya wine na bia katika kuongeza au kupunguza unene ipo kwenye nini mtaalamu?Njia pekee iliyo ya kweli ni kupunguza misosi, basi. Mtu asikudanganye eti fanya mazoezi. Katika kupunguza misosi, hakikisha huli vyakula vyenye sukari nyingi, mafuta mengi kama nyama za mafuta, chips, vyakula vingine vya kukaanga. Acha kula ugali au wali mwingi. Acha kunywa soda zenye sukari na bia. Wine kunywa.
Punguza kula kwa wingi na mara kwa mara. Mlo mmoja wa kadiri kwa siku unatosha. Jaza tumbo na mbogamboga zaidi.
Huku ukifanya hayo, nunua unga mwingi wa ubuyu na utumie kijiko 1-2 kila siku kwenye uji, chai au supu. Halafu uje hapa utupe mrejesho baada ya mwezi 1-2..
Tengeneza hii kitu piga siku tatu bila kula kitu kingine kabisa!Shukran Mkuu nishaanza leo kufanyia kazi
Afadhali umemsaidia hivyo hapo ni mchanganyiko wa nini na nini?Tengeneza hii kitu piga siku tatu bila kula kitu kingine kabisa!
sema unajiuza tu utaeleweka kirahisiMimi napenda pesa tu na sio mwili wa mtu mwingine ☺️
Nimeweka nyama ya ngombe, yeye anaweza weka ya kuku, kabichi nimekata big size, na veggies! Kwahiyo chakula ni hichocho kazi yake kupasha tu mpaka amalize siku 2-3Afadhali umemsaidia hivyo hapo ni mchanganyiko wa nini na nini?
We una pesa ya kuninunua? Na unahangaika shoga! Soko gumu nini😆sema unajiuza tu utaeleweka kirahisi
No dime could ever buy you pretty, waniachie mimi tu hiyo kaziiWe una pesa ya kuninunua? Na unahangaika shoga! Soko gumu nini😆
Kamalaya kengine hako kanahangaika na maparody yake nilipo kapo kama kavuzi😁No dime could ever buy you pretty, waniachie mimi tu hiyo kazii
Wanafikiria it's that simple😂Kamalaya kengine hako kanahangaika na maparody yake nilipo kapo kama kavuzi😁
Kumbuka kitu kimoja, huwezi kuondoa kitambi peke yake, ni lazima mwili wote upungue.
Kama upo radhi kwa hivyo basi namna pekee ya haraka ya kuondoa kitambi ni ku control chakula. Mazoezi ni extra tu
1. Acha tungi
2. Acha kula wali, ngano, ugali, tambi na carbohydrates kwa muda
3. Acha matumizi excessive ya sukari. Jibane sana kwenye masukari ya aina zote
Mwili ukishakaa Level unayotaka na kitambi kuondoka utaanza kidogo kidogo mawanga huku unakomaa na mazoezi
Wakuu njiani gani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi.
Kwa kweli naibika , Tumbo kubwa nakosa Confedence.
Nimekimbiwa hadi na shemeji yenu 😎😎😎.
Oooh sorry blaza, samahani sana. Asiache chochote aendelee kula vyote kabisa! Anywe pombe za kutosha mabia mangurue na vyoteUshauri wa "ACHA" kitu fulani is impractical and unsustainable. Ushauri wa hovyo.