Kula kwa kiasi ila sio acha. It's proven time and again that ushauri wa acha is impractical and unsustainable.
Asile wanga apate vp nguvu? Huo ndo mwanzo wa vidonda vya tumbo na kupata kizunguzungu muda wote.
Pombe sio mbaya ukinywa kwa kiasi.
Mambo ya acha chakula fulani ni kujitesa bure tu. Kisa kupungua ndo ujitese ili ugundue nini? Life is for the living.
Kula wanga kwa kiasi maana mwili unahitaji wanga, sukari na kila kitu. Mambo ya acha chakula ndo unakondeana unakakamaa kama Janabi. Nobody wants that.
Ushauri wa acha atachukia process nzima na kurudi kule kule in a week or so.