Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli

Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM tukaanbiwa kavuta mazima- ni Taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli

Taarifa kuwa Daktari huenda amedhurika na hayupo tena nasi zimeanza kama Taarifa za Upotoshaji lakini kwa trend ya hapo juu , Upotoshaji hugeuka kuwa kweli ! Hii ina raise concern - Mzaha mzaha mtu anamalizwa kweli mazima na inabaki historia

Yule ni public figure, kama yupo hai aonekane hata Jumuiya, Is jumuiya ni siasa ?

CCM mnakosa Weledi sana na Tafakuru

Imagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi

Kama Nchimbi yupo hai aje upfront , usikute watu wanatafuta pakuanzia baada ya kummaliza…Hii ni hatari sana

Daktari yupo wapi !

Kajiuzulu kupitia Instagram na barua ya mchongo which raise suspicion kama kweli ile ni barua ya Daktari ,kwa ulimwengu wa AI saini ya mtu kwa sasa sio ishu kuipata

Daktari yupo wapi ; Amekufa au Yupo hai Watanzania wanatakiwa kuujua ukweli juu ya former VP wao ni haki yao kikatiba

Msituambie kuwa amestaafu hivyo hatozungumzia chochote acheni huo upumbavu , Daktari anatakiwa kutoka kama alivotoka mpango na kutuambia Anastaafu kwa sababu anataka kupumzika na familia yake - Mpango alisema hivyo kwa kinywa chache, to prove wrong , Daktari nae afanye hivyo then aendelee na maisha yake we won’t bother -otherwise tuna wasiwasi kama Daktari yupo hai- na kama hayupo hai basi mamlaka husika ziseme maana mtu kama makamu ni lazima debriefing zake ziende State house kila siku

Mwisho,Taarifa zinazoitwa za Upotoshaji haziwezi kupuuzwa isipokuwa tu kwa dalili (evidence) ni ama Nchimbi aje upfront kwenye Jumuiya Kanisa au familia yake ipewe mwili na ifanye Catholic rituals

Tuache Uhuni kujipa mamlaka juu ya uhai wa watu wengine

Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Ni bahati mbaya nchi yetu imefikishwa mahali ambapo mamlaka na utu wa watu haviishi pamoja wenye mamlaka wanaona binadamu ni sisimizi.Inatisha mno kuona leo watu tunauliza yuko Dr.Nchimbi ni jambo baya sana.Ni kweli kama dogo anavuotamba kuwa hakuna mkubwa lakini siku moja taifa litaangamia visasi vitalindima kila uchwao
 
Back
Top Bottom