Halafu wewe unajua ni taahira? Wakati ule wa Magu, akina Lissu walivyokuwa wanahoji alipo, ulisikia familia ikimuulizia?Kwani ni Wapi Mmesikia Familia Yake Ikimtafuta?
Leo kwenye YouTube niliipitia tu kuna channel inaitwa kama sikosei bongotv kuna jamaa anaitwa zungu alikuwa anahojiwa kimsingi alikuwa mwathirika wa dawa za kulevya alishazunguka sana mabara ma 4 kaelezea mengi mwishoni mwa interview yake alisema wazi sisi ni masnitch sana aliweka wazi uhalisia wetu kabisa.Hii nchi tunakuwa na maneno mengi na u snitch humo humo, ila hatupo watu wa vitendo. Paka mda huu ilitakiwa pawe pamewaka moto. Ila kimya kama hakuna jambo limetokea
Hakuna Nguchiro ya kumnyonga Lissu nchi hii. Haijazaliwa bado.Si mlikua mnamsifia kwamba ni Jasusi muandamizi kwamba CCM hawamuwezi na wanamuogopa mbona vilio tena? Na kwa Lissu itakua hivi hivi kama wameweza kumfukuza Makamu wa Rais Lisu wanashindwaje kumnyonga? Tuheshimu mamlaka jamani na tuwe na adabu na mamlaka sio kutaka kutunisha misuli wakati nguvu Amna.
NB:Kuheshimu mamlaka sio uchawa Bali ndio Watanzania tulivyofunzwa kuheshimiana.
Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM tukaanbiwa kavuta mazima- ni Taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Taarifa kuwa Daktari huenda amedhurika na hayupo tena nasi zimeanza kama Taarifa za Upotoshaji lakini kwa trend ya hapo juu , Upotoshaji hugeuka kuwa kweli ! Hii ina raise concern - Mzaha mzaha mtu anamalizwa kweli mazima na inabaki historia
Yule ni public figure, kama yupo hai aonekane hata Jumuiya, Is jumuiya ni siasa ?
CCM mnakosa Weledi sana na Tafakuru
Imagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi
Kama Nchimbi yupo hai aje upfront , usikute watu wanatafuta pakuanzia baada ya kummaliza…Hii ni hatari sana
Daktari yupo wapi !
Kajiuzulu kupitia Instagram na barua ya mchongo which raise suspicion kama kweli ile ni barua ya Daktari ,kwa ulimwengu wa AI saini ya mtu kwa sasa sio ishu kuipata
Daktari yupo wapi ; Amekufa au Yupo hai Watanzania wanatakiwa kuujua ukweli juu ya former VP wao ni haki yao kikatiba
Msituambie kuwa amestaafu hivyo hatozungumzia chochote acheni huo upumbavu , Daktari anatakiwa kutoka kama alivotoka mpango na kutuambia Anastaafu kwa sababu anataka kupumzika na familia yake - Mpango alisema hivyo kwa kinywa chache, to prove wrong , Daktari nae afanye hivyo then aendelee na maisha yake we won’t bother -otherwise tuna wasiwasi kama Daktari yupo hai- na kama hayupo hai basi mamlaka husika ziseme maana mtu kama makamu ni lazima debriefing zake ziende State house kila siku
Mwisho,Taarifa zinazoitwa za Upotoshaji haziwezi kupuuzwa isipokuwa tu kwa dalili (evidence) ni ama Nchimbi aje upfront kwenye Jumuiya Kanisa au familia yake ipewe mwili na ifanye Catholic rituals
Tuache Uhuni kujipa mamlaka juu ya uhai wa watu wengine
Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Ila wa kumpiga risasi 16 mchana kweupe wapo?Hakuna Nguchiro ya kumnyonga Lissu nchi hii. Haijazaliwa bado.
Labda nchi nyingine ila sio hii illiyo jaza mabumunda, ushawahi ona wapi wazawa wanaua wazawa wenzao mamia kwa mamia ili tu mgeni aendelee kukaa madarakani na hasa baada ya nchi nyingi kupata uhuru kutoka kwa wakoloni?we hushangai?Wanaendaga hivi hivi ila kwa huyu akipotea
Nchii hii haitokaa itawalike
Unapotosha umma, hakuna anaeweza kumdhulu Nchimbi kwakuwa tayari anafahamika ana ugomvi na CCM na serikali. Hapa tujuavyo sisi ukiwa kwenye hali kama hiyo lazima uwe hai maana likitokea wa kulaumiwa yupo. JPM hakuwa na mgogoro na mamlaka yoyote na yeye ndiye alikuwa AmiriJESHI mkuu wa majeshi yote hakukua na wakulaumia zikabaki hisia tu za watu.Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM tukaanbiwa kavuta mazima- ni Taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Taarifa kuwa Daktari huenda amedhurika na hayupo tena nasi zimeanza kama Taarifa za Upotoshaji lakini kwa trend ya hapo juu , Upotoshaji hugeuka kuwa kweli ! Hii ina raise concern - Mzaha mzaha mtu anamalizwa kweli mazima na inabaki historia
Yule ni public figure, kama yupo hai aonekane hata Jumuiya, Is jumuiya ni siasa ?
CCM mnakosa Weledi sana na Tafakuru
Imagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi
Kama Nchimbi yupo hai aje upfront , usikute watu wanatafuta pakuanzia baada ya kummaliza…Hii ni hatari sana
Daktari yupo wapi !
Kajiuzulu kupitia Instagram na barua ya mchongo which raise suspicion kama kweli ile ni barua ya Daktari ,kwa ulimwengu wa AI saini ya mtu kwa sasa sio ishu kuipata
Daktari yupo wapi ; Amekufa au Yupo hai Watanzania wanatakiwa kuujua ukweli juu ya former VP wao ni haki yao kikatiba
Msituambie kuwa amestaafu hivyo hatozungumzia chochote acheni huo upumbavu , Daktari anatakiwa kutoka kama alivotoka mpango na kutuambia Anastaafu kwa sababu anataka kupumzika na familia yake - Mpango alisema hivyo kwa kinywa chache, to prove wrong , Daktari nae afanye hivyo then aendelee na maisha yake we won’t bother -otherwise tuna wasiwasi kama Daktari yupo hai- na kama hayupo hai basi mamlaka husika ziseme maana mtu kama makamu ni lazima debriefing zake ziende State house kila siku
Mwisho,Taarifa zinazoitwa za Upotoshaji haziwezi kupuuzwa isipokuwa tu kwa dalili (evidence) ni ama Nchimbi aje upfront kwenye Jumuiya Kanisa au familia yake ipewe mwili na ifanye Catholic rituals
Tuache Uhuni kujipa mamlaka juu ya uhai wa watu wengine
Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Mkuu unakumbuka kifo cha Chacha Wangwe?... nae alikuwa na nduguye Prof. Samweli Wangwe............Ina maana lidogo lake ni lilafi kiasi kwamba liko tayari ndg yake ayeyuke! Lingejifunza kwa ndg wa polepole.
TWO WRONGS DO NOT MAKE RIGHT!Mkuu unakumbuka kifo cha Chacha Wangwe?... nae alikuwa na nduguye Prof. Samweli Wangwe............
Wabongo bwana kwa hiyo sa mtafanya nn hahahaWanaendaga hivi hivi ila kwa huyu akipotea
Nchii hii haitokaa itawalike
Wahuni wakiamua huyo samia wanamteka wanaenda kumbaka pale Uwanja wa Benjamin Mkapa camera zote zikiwa On na hamna ataesema chochote.Tunakubaliana kwamba wahuni wa sasa wanaweza kufanya chochote hata kwa Samiah na kusiwe na nywinywinywi?