Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
roast report 😭😭😭😭Ndugu waombe roast report ya ndugu yao
Ndugu zake wanajua aliko na wanaonana .
Sema nyie wavuta ndumu ndio mnahangahika
roast report 😭😭😭😭Ndugu waombe roast report ya ndugu yao
Hawa wapuuzi hawana akili timamu.Si mlikua mnamsifia kwamba ni Jasusi muandamizi kwamba CCM hawamuwezi na wanamuogopa mbona vilio tena? Na kwa Lissu itakua hivi hivi kama wameweza kumfukuza Makamu wa Rais Lisu wanashindwaje kumnyonga? Tuheshimu mamlaka jamani na tuwe na adabu na mamlaka sio kutaka kutunisha misuli wakati nguvu Amna.
NB:Kuheshimu mamlaka sio uchawa Bali ndio Watanzania tulivyofunzwa kuheshimiana.
yesAu sio
Hii lugha ya "Nchi haitatawalika" ni lugha ya ushujaa kwenye simu janja na laptop tu.Wanaendaga hivi hivi ila kwa huyu akipotea
Nchii hii haitokaa itawalike
oktoba, 25 uliingia road?Wabongo wanachojua kubwata mitandaoni na kwa keyboard, plus UNAFIKI.
hicho ndicho wanaweza.
Maswali kama haya wanakuja kujibu akina Kihongosi, kwa hoja nyepesi sanaWell , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM tukaanbiwa kavuta mazima- ni Taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Ishu ya polepole kukinzana na Boss Wake zilianza chinichini, baadae ni kweli pole pole akaja upfront na wakamteka- Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Taarifa kuwa Daktari huenda amedhurika na hayupo tena nasi zimeanza kama Taarifa za Upotoshaji lakini kwa trend ya hapo juu , Upotoshaji hugeuka kuwa kweli ! Hii ina raise concern - Mzaha mzaha mtu anamalizwa kweli mazima na inabaki historia
Daktari haonekani Jumuiya wala Kanisani - then tunaambiwa ni taarifa za Upotoshaji.
Yule ni public figure, kama yupo hai aonekane hata Jumuiya, Is jumuiya ni siasa ?
CCM mnakosa Weledi sana na Tafakuru
Imagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi
Kama Nchimbi yupo hai aje upfront , usikute watu wanatafuta pakuanzia baada ya kuharibu …. Hii ni hatari sana kama taifa tumechagua Hii ndio njia ya maisha
Daktari yupo wapi !
Kajiuzulu kupitia Instagram na barua ya mchongo which raise suspicion kama kweli ile ni barua ya Daktari ,kwa ulimwengu wa AI saini ya mtu kwa sasa sio ishu kuipata
Daktari yupo wapi ; Amekufa au Yupo hai Watanzania wanatakiwa kuujua ukweli juu ya former VP wao ni haki yao kikatiba
Msituambie kuwa amestaafu hivyo hatozungumzia chochote acheni huo upumbavu , Daktari anatakiwa kutoka kama alivotoka mpango na kutuambia Anastaafu kwa sababu anataka kupumzika na familia yake - Mpango alisema hivyo kwa kinywa chache, to prove wrong , Daktari nae afanye hivyo then aendelee na maisha yake we won’t bother -otherwise tuna wasiwasi kama Daktari yupo hai- na kama hayupo hai basi mamlaka husika ziseme maana mtu kama makamu ni lazima debriefing zake ziende State house kila siku
Mwisho,Taarifa zinazoitwa za Upotoshaji haziwezi kupuuzwa isipokuwa tu kwa dalili (evidence) ni ama Nchimbi aje upfront kwenye Jumuiya Kanisa au familia yake ipewe mwili na ifanye Catholic rituals
Tuache Uhuni kujipa mamlaka juu ya uhai wa watu wengine
Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Kwa aina yetu sisi wananchi, tunastahili majibu ya kihuni kama ya kihongosi.Maswali kama haya wanakuja kujibu akina Kihongosi, kwa hoja nyepesi sana
Eti hawajui aliko.
Hiyo ni kauli ya kutufariji ili muda uende tusahau.Yaani matukio ya sasa usubiri 2030? Kuna kip special huko 2030 kitakachokuwa tofauti na sasa?
JPM alikuwa mgonjwa na kwenye hotuba zake alikuwa anaongea sana mambo ya mtanikumbuka.Kama walimuua Magu na hakuna nywinywinywi ilitokea, kuna jipya lipi kwa EJN?
Mbona hujawa specific kwenye unachokiandikaMkuu upo Canada nchi ambayo kiongozi mkuu ni mfalme wa United Kingdom. Huwezi kumchezea au kuchallenge mamlaka ya mfalme au malkia ukabaki kama ulivyokuwa mwanzo ila unaweza kuchallenge mamlaka ya kiongozi wa Serikali (waziri mkuu hapo Canada) ukabaki salama.
Kwa Tanzania Rais ana vyeo vyote viwili (mkuu wa nchi a.k. Malkia au mfalme na kiongozi wa Serikali).
Watu wengi wamejikuta matatizoni kwa kutokutambua hilo, kwa hiyo kaa mbali kabisa na uwe na adabu iliyotukuka kwa mtu anayeitwa Rais wa nchi. Hata hao watu wa haki za binadamu hawatakusaidia wakigundua umechezea mamlaka ya nchi kwa sababu hata wao wanayaheshimu sana.
That's a damn shame for the CCMs!Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM tukaanbiwa kavuta mazima- ni Taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Ishu ya polepole kukinzana na Boss Wake zilianza chinichini, baadae ni kweli pole pole akaja upfront na wakamteka- Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Taarifa kuwa Daktari huenda amedhurika na hayupo tena nasi zimeanza kama Taarifa za Upotoshaji lakini kwa trend ya hapo juu , Upotoshaji hugeuka kuwa kweli ! Hii ina raise concern - Mzaha mzaha mtu anamalizwa kweli mazima na inabaki historia
Daktari haonekani Jumuiya wala Kanisani - then tunaambiwa ni taarifa za Upotoshaji.
Yule ni public figure, kama yupo hai aonekane hata Jumuiya, Is jumuiya ni siasa ?
CCM mnakosa Weledi sana na Tafakuru
Imagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi
Kama Nchimbi yupo hai aje upfront , usikute watu wanatafuta pakuanzia baada ya kuharibu …. Hii ni hatari sana kama taifa tumechagua Hii ndio njia ya maisha
Daktari yupo wapi !
Kajiuzulu kupitia Instagram na barua ya mchongo which raise suspicion kama kweli ile ni barua ya Daktari ,kwa ulimwengu wa AI saini ya mtu kwa sasa sio ishu kuipata
Daktari yupo wapi ; Amekufa au Yupo hai Watanzania wanatakiwa kuujua ukweli juu ya former VP wao ni haki yao kikatiba
Msituambie kuwa amestaafu hivyo hatozungumzia chochote acheni huo upumbavu , Daktari anatakiwa kutoka kama alivotoka mpango na kutuambia Anastaafu kwa sababu anataka kupumzika na familia yake - Mpango alisema hivyo kwa kinywa chache, to prove wrong , Daktari nae afanye hivyo then aendelee na maisha yake we won’t bother -otherwise tuna wasiwasi kama Daktari yupo hai- na kama hayupo hai basi mamlaka husika ziseme maana mtu kama makamu ni lazima debriefing zake ziende State house kila siku
Mwisho,Taarifa zinazoitwa za Upotoshaji haziwezi kupuuzwa isipokuwa tu kwa dalili (evidence) ni ama Nchimbi aje upfront kwenye Jumuiya Kanisa au familia yake ipewe mwili na ifanye Catholic rituals
Tuache Uhuni kujipa mamlaka juu ya uhai wa watu wengine
Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Pengine ameshatangulizwa mbele ya haki.Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM tukaanbiwa kavuta mazima- ni Taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Ishu ya polepole kukinzana na Boss Wake zilianza chinichini, baadae ni kweli pole pole akaja upfront na wakamteka- Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli
Taarifa kuwa Daktari huenda amedhurika na hayupo tena nasi zimeanza kama Taarifa za Upotoshaji lakini kwa trend ya hapo juu , Upotoshaji hugeuka kuwa kweli ! Hii ina raise concern - Mzaha mzaha mtu anamalizwa kweli mazima na inabaki historia
Daktari haonekani Jumuiya wala Kanisani - then tunaambiwa ni taarifa za Upotoshaji.
Yule ni public figure, kama yupo hai aonekane hata Jumuiya, Is jumuiya ni siasa ?
CCM mnakosa Weledi sana na Tafakuru
Imagine nafasi kubwa kama Makamu wa Rais mtu mpya anaanza majukumu bila kukabidhiwa Ofisi na mtangulizi wake haijawahi kutokea maana hata Rais anakabidhi Ofisi-
The whole thing proves CCM ni Chanzo cha Uharibifu wa maadili ya umma na amani ya nchi
Kama Nchimbi yupo hai aje upfront , usikute watu wanatafuta pakuanzia baada ya kuharibu …. Hii ni hatari sana kama taifa tumechagua Hii ndio njia ya maisha
Daktari yupo wapi !
Kajiuzulu kupitia Instagram na barua ya mchongo which raise suspicion kama kweli ile ni barua ya Daktari ,kwa ulimwengu wa AI saini ya mtu kwa sasa sio ishu kuipata
Daktari yupo wapi ; Amekufa au Yupo hai Watanzania wanatakiwa kuujua ukweli juu ya former VP wao ni haki yao kikatiba
Msituambie kuwa amestaafu hivyo hatozungumzia chochote acheni huo upumbavu , Daktari anatakiwa kutoka kama alivotoka mpango na kutuambia Anastaafu kwa sababu anataka kupumzika na familia yake - Mpango alisema hivyo kwa kinywa chache, to prove wrong , Daktari nae afanye hivyo then aendelee na maisha yake we won’t bother -otherwise tuna wasiwasi kama Daktari yupo hai- na kama hayupo hai basi mamlaka husika ziseme maana mtu kama makamu ni lazima debriefing zake ziende State house kila siku
Mwisho,Taarifa zinazoitwa za Upotoshaji haziwezi kupuuzwa isipokuwa tu kwa dalili (evidence) ni ama Nchimbi aje upfront kwenye Jumuiya Kanisa au familia yake ipewe mwili na ifanye Catholic rituals
Tuache Uhuni kujipa mamlaka juu ya uhai wa watu wengine
Dr. Megalodon Mushi, MD, Mmed , PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada
Downtown
Rue 52
Tunakubaliana kwamba wahuni wa sasa wanaweza kufanya chochote hata kwa Samiah na kusiwe na nywinywinywi?JPM alikuwa mgonjwa na kwenye hotuba zake alikuwa anaongea sana mambo ya mtanikumbuka.
Bongo president ana nguvu sana na kinacho enforce hiyo ni namna ambavyo polisi, jwtz na vyombo vingine vilivyo na utiifu kama nyumbu kwa president na viongozi wa chini plus raia wenyewe walivyo waoga. Raia wanataka mabadiliko bila consequences zozote.
Isingekuwa hivyo muda mrefu tu matambalilo angekuwa ashaondolewa na watu wanaomzidi uwezo.
Mtu akiongea tu kwamba "mtanikumbuka" anahesabika "kagonjoka"? Subhanallah!JPM alikuwa mgonjwa na kwenye hotuba zake alikuwa anaongea sana mambo ya mtanikumbuka.
Bongo president ana nguvu sana na kinacho enforce hiyo ni namna ambavyo polisi, jwtz na vyombo vingine vilivyo na utiifu kama nyumbu kwa president na viongozi wa chini plus raia wenyewe walivyo waoga. Raia wanataka mabadiliko bila consequences zozote.
Isingekuwa hivyo muda mrefu tu matambalilo angekuwa ashaondolewa na watu wanaomzidi uwezo.
Waasi hawasubiri kupewa au kuletewa. Wao wanatafuta wenyewe ili kukamilisha misheni.Kwakweli nilipofika nikipewa mtutu nakuwa muasi.